mwamba c
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 690
- 2,362
Jana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue,mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 kaondoka kwenda kwao huku nyuma mm nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza mda nika mpiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote nikamwambia arudi nije nipe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho,maswala yakurudisha maendeleo nyuma sipendg laki8 yote ununulie simu wakati mm mwenye simu ya laki1 yenyewe sijawahi kununua
Usawa huu sina hela ya kuchezeaa
Usawa huu sina hela ya kuchezeaa