Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #41 lazarod298 said: Hahaha! Click to expand... Unacheka maisha ya watu mkuu
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #42 uchumi2018 said: Nimejifunza kitu hapa,kwamba ni vyema kutumia vizuri bum,badala ya kuwekeza kwenye umarioo,kumbe kuna maisha baada ya chuo,Hayo mengine ya Jemmy nakuachia ila nimepata fundisho. Click to expand... Mkuu sio tuu Bumu, chochote kihusucho pesa wekeza. Mimi niliwekeza kwa kina Miss Udsm
uchumi2018 said: Nimejifunza kitu hapa,kwamba ni vyema kutumia vizuri bum,badala ya kuwekeza kwenye umarioo,kumbe kuna maisha baada ya chuo,Hayo mengine ya Jemmy nakuachia ila nimepata fundisho. Click to expand... Mkuu sio tuu Bumu, chochote kihusucho pesa wekeza. Mimi niliwekeza kwa kina Miss Udsm
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #43 jina halisi said: Usikae kwa bibi nyau mwana, kwa shigongo kuna hela zako nyingi tu zinakusubiri. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahaaaa!! Mbona mnamtaja sana Shigongo wakati mimi nimeelezea tu kilichonisibu
jina halisi said: Usikae kwa bibi nyau mwana, kwa shigongo kuna hela zako nyingi tu zinakusubiri. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahaaaa!! Mbona mnamtaja sana Shigongo wakati mimi nimeelezea tu kilichonisibu
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #44 Valentina said: Ukipata audio yake unipestie namie lol Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... JF bhana,
Valentina said: Ukipata audio yake unipestie namie lol Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... JF bhana,
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #45 Nkolandoto said: Huu upupu tu tusuje washwa washwaaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Uliwahi itwa na demu Mkali mwenye wadhfa kama wote Mkuu?
Nkolandoto said: Huu upupu tu tusuje washwa washwaaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Uliwahi itwa na demu Mkali mwenye wadhfa kama wote Mkuu?
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #46 fundi bishoo said: inastaajabisha Click to expand... Nakuhuzunisha pia
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #47 BRN said: Double Id, kama sio Galagadu ni Gudume. Click to expand... Kwa nini ufikiri hivyo Mkuu?
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #48 hoscute said: Hahahaaaa Click to expand... Mkuu unaona mazuri mimi kuhenyeshwa?
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #49 kudraty said: Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Angalau wewe umeona teso lango. Shukrani Mkuu
kudraty said: Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Angalau wewe umeona teso lango. Shukrani Mkuu
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #50 Maccavelli said: Upo kwa bibi Nyau Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndio Mkuu, kutoka kula nyama choma pale samaki samaki Mlimani City mpaka kula miguu ya kuku ya Tandale.
Maccavelli said: Upo kwa bibi Nyau Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndio Mkuu, kutoka kula nyama choma pale samaki samaki Mlimani City mpaka kula miguu ya kuku ya Tandale.
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #51 tinkanyarwele said: Uko juu kwa usimuliaji unaovutia hebu jikite kwa shigongo kijana utavuta mkwanja fast, hongera Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukrani kiongozi, nitalifuatilia hilo.
tinkanyarwele said: Uko juu kwa usimuliaji unaovutia hebu jikite kwa shigongo kijana utavuta mkwanja fast, hongera Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukrani kiongozi, nitalifuatilia hilo.
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,601 Aug 25, 2018 #52 Whozuu,.hahahahaa mumu mecheka jomoniii😂😂kweli ww blaki sneki...
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,575 Aug 25, 2018 #53 mumu said: Whozuu,.hahahahaa mumu mecheka jomoniiikweli ww blaki sneki... Click to expand... Bila shaka umecheka badala yangu pia....
mumu said: Whozuu,.hahahahaa mumu mecheka jomoniiikweli ww blaki sneki... Click to expand... Bila shaka umecheka badala yangu pia....
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,601 Aug 25, 2018 #54 Mwifwa said: Bila shaka umecheka badala yangu pia.... Click to expand... Haswaaa...za weekend Chief!? Sent using Jamii Forums mobile app
Mwifwa said: Bila shaka umecheka badala yangu pia.... Click to expand... Haswaaa...za weekend Chief!? Sent using Jamii Forums mobile app
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,575 Aug 25, 2018 #55 mumu said: Haswaaa...za weekend Chief!? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Salama salimini, bila shaka na wewe pia kama mimi
mumu said: Haswaaa...za weekend Chief!? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Salama salimini, bila shaka na wewe pia kama mimi
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 Aug 25, 2018 #56 Kastory kazuri Sent using Jamii Forums mobile app
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #57 IRIOKO said: maishaa baada ya chuo nikitu kingine japoo mwishoni umeingiza madesa mengine Ila Hapo mwanzo kina mafundisho makubwa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu iko hivyo Mkuu, kila aliyemaliza chuo akakosa kazi hana tofauti kubwa na Mimi wa GPA 32
IRIOKO said: maishaa baada ya chuo nikitu kingine japoo mwishoni umeingiza madesa mengine Ila Hapo mwanzo kina mafundisho makubwa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu iko hivyo Mkuu, kila aliyemaliza chuo akakosa kazi hana tofauti kubwa na Mimi wa GPA 32
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,601 Aug 25, 2018 #58 Mwifwa said: Salama salimini, bila shaka na wewe pia kama mimi Click to expand... Kabisaaa,bukheri wa afya njema na hii hali ya hewa leo basi amani inazidi kutawala Sent using Jamii Forums mobile app
Mwifwa said: Salama salimini, bila shaka na wewe pia kama mimi Click to expand... Kabisaaa,bukheri wa afya njema na hii hali ya hewa leo basi amani inazidi kutawala Sent using Jamii Forums mobile app
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,897 Aug 25, 2018 Thread starter #59 Kaboom said: Kastory kazuri Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio Stori Mkuu, hata hapa nilipo bado nipo kwa Bibi Nyau
Kaboom said: Kastory kazuri Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio Stori Mkuu, hata hapa nilipo bado nipo kwa Bibi Nyau
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,575 Aug 25, 2018 #60 mumu said: Kabisaaa,bukheri wa afya njema na hii hali ya hewa leo basi amani inazidi kutawala Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hii hali sio poa kabisa maana ofisi ya mkemia mkuu inapata tabu sana...
mumu said: Kabisaaa,bukheri wa afya njema na hii hali ya hewa leo basi amani inazidi kutawala Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hii hali sio poa kabisa maana ofisi ya mkemia mkuu inapata tabu sana...