mtu kama huyu unategemea hata jokes ataweza kutoa? zile zinahitaji mtu awe na akili bwana. Jokes inatakiwa ukisoma uweze kucheka, huyu atamchekesha nani?
mapishi, unataka atulishe sumu?
sema aruhusiwe kusoma tu busara za wenzake
sasa mbona umesoma?
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

wewe utakuwa uataka tukuombee ufe haraka, nasisi hatukuombei hivyo ng'o. Naomba Mungu akujalie maisha marefu mpaka siku utayoona CDM wanachukua nchi. Udondoke, uzimie na Kufa pale Rais kutoka CDM atakapomaliza kula kiapo cha uongozi.
Nakufananisha na sheria za South Afrika: Polisi wameua raia lkn wanafunguliwa mashitaka ya uuaji raia. Sasa nawe unajua ni polisi wametekaleza mauaji hayo yote kama ulivyotaja, lkn unawachukia CDM.
Ishi miaka mingi ushuhudie mapinduzi
Ahaa nahao viongoz wako wa ccm je,,?hawana hayo magorofaa,,??nafkiri huwajui vizuri pole sana ungejua magorofa,viwanja,magar,waliyonayo ungebak mddomo waziWanawadanganya sana mnyika anakaa mbezi kwnye ghorofa kajengaje sijui,slaa anakaa masaki kwenye ghorofa kajengaje sijui mbowe ndo balaa wanapigania haki zipi wkt wao wanaishi kama wafalme!!
Tunaijui vzuri historia ya chadema bwana ni chama cha wachaga/ watu wa kaskazini na wakatoliki.
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
Mkuu ni sheria gani iliyovunjwa? Chadema wamemuua nani? Mbona hawafikishwi mahakamani? Hawa cdm kwani wana akili nyingi mpaka wawadanganye wenzao? Amani gani unayozungumza? Au ni ile ya kukwapua EPA , meremeta, kagoda, twiga wetu na sisi tumekaa kimya kama kondoo anayepelekwa kuchinjwa? Jenga hoja sio bla bla...
a fool......njiwa....ar u fool sorce aden rageKupe una point.. alafu hongera cdm ni janga la kitaifa.. watu kama wewe ndio wazalendo mnaohitajika.. hawajamaa chadema mi nawachukia sababu wadini sana..