Sita Aunguruma Ikulu



mbona magazeti ya rostam azizi hayajaandika ?
 
Nyie bwabwajeni tuu mtaaalamu mwenyewe JK ameshapiga mahesabu yake safiii.....endeleeni kujikomba ikulu tu mwisho wa yote sita nje kama gamba kwa kukiua chama na EL nje pia kama gamba. ufisadi..then Membe, `Asha au `mwinyi mwendo mdundo ikulu watu weeeweeee

Hapo ndipo namkubali JK siasa jamaa anaiwezaaaa anawashinda wote wanabakia kujigongagonga tu kwake ahah aahaaah...
 

Bongo tambarare.....Hakuna ufisadi. Si unaona STJ ilivyolamba rundo la majani ya ng'ombe? CCM OYEEEE!!! Vasco Da Gama OYEEEE

Huyu bosi kaonyesha njia ktk kupiga vita m v-8 hasa ukizingatia sie ni wafugaji na wakulima, na hapo chini ya majani yawezekana kapakia makombo ya kitimoto.
 
Huyu bosi kaonyesha njia ktk kupiga vita m v-8 hasa ukizingatia sie ni wafugaji na wakulima, na hapo chini ya majani yawezekana kapakia makombo ya kitimoto.
Vipi anayetumia gari hii alichukuliwa hatua? Hapa kwa kweli amevuka mipaka, ametudhihaki wananchi walipakodi wa njii hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…