Hawajipendi...hakuna atakayejaribu ila ataanguka kwa aibuSitta, Malecela, Mwandosya, Lowassa, Sumaye, n.k wote wachukue wachukue fomu mwakani,ili kuvuruga chama....mwisho wa CCM utaletwa na wanaCCM wenyewe!!
Wacha vituko wewe... amemuungurumia nani? na nani hao waliomsikia?Jana katika hafla iliyoandaliwa na Mh JK ikulu magogoni Dar es salaam, ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya kupata uhuru wa Tan....... spika wa bunge Bw Sita alisikika akisema kwa machungu kwamba maamuzi magumu yamemshinda muungwana kutokana na yeye kutokutoa maamuzi ya msingi juu ya ufisadi, kati ya mambo aliyozungumza alihoji ni biashara gani kiongozi wa serikali anaweza kufanya kiasi cha kuwa na account ya mamillion ya shiling kwenye account za nje, maneno hayo aliyasema akiwa ikulu magogoni Dar es salaam...
My Take: Nasubiri matusi na kejeli kutoka kwa Waziri Mkuu Makamba kwenda kwa Bw Sita juu ya tuhuma hizi.
MJ
Wacha vituko wewe... amemuungurumia nani? na nani hao waliomsikia?
Jana katika hafla iliyoandaliwa na Mh JK ikulu magogoni Dar es salaam, ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya kupata uhuru wa Tan....... spika wa bunge Bw Sita alisikika akisema kwa machungu kwamba maamuzi magumu yamemshinda muungwana kutokana na yeye kutokutoa maamuzi ya msingi juu ya ufisadi, kati ya mambo aliyozungumza alihoji ni biashara gani kiongozi wa serikali anaweza kufanya kiasi cha kuwa na account ya mamillion ya shiling kwenye account za nje, maneno hayo aliyasema akiwa ikulu magogoni Dar es salaam...
My Take: Nasubiri matusi na kejeli kutoka kwa Waziri Mkuu Makamba kwenda kwa Bw Sita juu ya tuhuma hizi.
MJ
Nani Msafi ktk CCM?
Hilo ni 2015Kama JK akisema hagombei...nani ana fit kwa ile post kwa sasa!!!
Dodoma leo ingekuwa ni makao makuu ya serikali...Nasema kwa dhati tena bila hofu kuwa, Samwel Sitta ni kiongozi mwenye akili timamu ndani ya nchi hii. Sijui kama wengine wako timamu
Mh Sita i concur you! Washa moto nchi hii ni yetu sote kama huyo "WaKubembea" anashindwa kufanya uamuzi na aondoke! na ole wenu mumkolimbe Mr six hapatakalika humu nchini!
Kib,Dodoma leo ingekuwa ni makao makuu ya serikali...
Nasema kwa dhati tena bila hofu kuwa, Samwel Sitta ni kiongozi mwenye akili timamu ndani ya nchi hii. Sijui kama wengine wako timamu
..waache kutuzungusha hawa.
..Muungwana ameingia Ikulu kwa nguvu na pesa za MAFISADI.
..kinachopaswa kufanyika ni kumuondoa na kuleta mtu mwingine msafi asiyekuwa na mahusiano na mafisadi.