ni kweli mkuu, muundo wa serikali tatu utaliongezea mzigo taifa letu masikini!!?Hata mimi nimeshangaa. Anataka kusema rais wetu ni dhaifu analisema indirectly. Halafu mbona watu wa ccm wanatoa mapovu sana kuhusu serikali tatu? wanandai ni mzigo kwa walalahoi, Je ni kweli?
Alichosema huyu mzee ni kweli, lakini mazingira aliyosemea ndo yanamfanya aonekane anajikomba kwa Mr. Dhaifu!!
Anayewafahamu ni yeye Sitta au JK?Sita anasema kwamba wapo wafanyabiashara wanamhujumu Rais Kikwete. Kwamba Sitta anawafahamu hao watu. Hivi Mh. Sitta kama Rais anawafahamu wanaomhujumu na hawachukulii hatua Tumuiteje Mh. Rais. Kuna Viongozi wengine wanatoaga kauli za Kuwalamba Miguu Mabos wao Kumbe wanawadhalilisha. Kwamba Sitta anamaanisha kwamba pamoja na Nguvu zote alizonazo Rais lakini anawaachia wanaomhujumu?
Mnaosema serikali TATU zitatuongezea mzigo, Tuambieni ni kwa jinsi gani maana HISIA tu huwa hazileta utatuzi wa tatizo kwa sababu hazileti suluhisho sahihi! Tuambieni kwa sasa serikali inatumia nini/kiasi gani na hapo baadaye inaweza kutumia kiasi gani!Mimi ni kati ya wanaoaminimkwamba serikali tatu zitapunguza gharama za uendeshaji!ni kweli mkuu, muundo wa serikali tatu utaliongezea mzigo taifa letu masikini!!?
Hivi haya mambo haruhusiwi kuongea ndani ya vikao vya baraza la mawaziri.
Huyu mzee nahisi ni mlopikaji tu.
Hasa nikikumbuka kumhusisha Magufuli na kambi yake ya Uraisi na hatimae kukanwa na Magufuli mwenyewe.!!
ni kweli mkuu, muundo wa serikali tatu utaliongezea mzigo taifa letu masikini!!?
Hivi haya mambo haruhusiwi kuongea ndani ya vikao vya baraza la mawaziri.
Huyu mzee nahisi ni mlopikaji tu.
Hasa nikikumbuka kumhusisha Magufuli na kambi yake ya Uraisi na hatimae kukanwa na Magufuli mwenyewe.!!