Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 520
Inafunguka, check mb zako.Mbona hii link yako haifunguki?
π sina mb aliye tazama aniambie ikoje
Mbona hii link yako haifunguki?
Kwan wew unaonaje??Unatafuta views eeh!
Embu nitumie namba zako nikusimulie
Utakuwa unatumia kimeo
Marahaba, umesahau mlango wa chumba cha uani!?π zimeisha
Shikamoo
Marahaba, umesahau mlango wa chumba cha uani!?