Malunkwi
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 338
- 80
Wadau wacha nijaribu kuwaondolea stress cheki hii.......................
"kuna mwanamke aliingia duka la dhahabu,kuna pete ikamvutia akainama kuitizama vizuri bahati mbaya akajamba,akaangalia je hamna mtu aliyesikia?kamkuta mwenye duka yuko karibu yake akataka kupotezea,akamuuliza hii pete bei gani?akamjibu umeiona 2 umejamba nikikwambia bei si utakunya?"ingekuwa wewe ungendelea kuwa dukani?