Sista Ulichonifanyia Sikusamehe Mpaka Kiama

Stori za hivi nilikua nazisoma Facebook miaka ya 2013 kabla sijaacha kutumia huo mtandao.
 
Daaah... Nimecheka sana... Si kwa kuumbuliwa huko.... Teh teh teh teh...
 
Sijakusoma siku nyingi, leo nimekusoma naona kweli unaendana na aliyoyasema dada yako na hakutunga.

kumbe upo hivyo, haya kasome ufaulu si unajua bado upo shuleni.
Mimi pia simwelewagi, asa threads zake..nachekaga cjui ka ni za kweli Au hadithi Au bado ajakua.
 
Kuna mademu juzi wamehamia hapa karibu na
nyumbani wazuri vibaya mno nilivyowaona tu
nikasema lazima nimtongoze mmoja
Leo nimetoka zangu kanisani sijaamini macho
yangu nimewakuta wale mademu nyumbani
wamekaa sebuleni wanapiga stori na sister nimefurahi sana nikasema wamejileta wenyewe
lazima nikomae na mmoja hadi kieleweke
Nimeingia fasta gheto nikatupia Sweta langu la
Dume condom nikatupia Pensi yangu ya Turubai
ndani nikavaa boxer yangu ya Chadema chini
nikatupia supra yangu ya ngozi juu kofia yangu ya mkeka kama kawaida na miwani yangu myeusi
mikubwa kama ya wachomelea vyuma
Nikajipulizia na Rungu yangu ili ninunukie
nilivyoona niko fiti nimetokelezea nikajipitisha pale
sebuleni kwa wale mademu na mwendo wangu
wa kunesanesa kama nataka kuanguka Wale mademu walivyoniona wakaanza kucheka
nikajua tayari wameshanishobokea mmoja
akamuuliza sister "huyo ndo mdogo wako?? Sister
akawajibu "ndiyo anaitwa chogo ndizi" mmoja
akamuuliza sister "mbona anaonekana ana vituko
sana ni muigizaji?? Sister akamjibu "hapana sio muigizaji mtundu balaa
anajifanyaga sana sharobaro hapo shule kaacha
hata hatumuelewi kila siku kesi za uwizi hapa
nyumbani mara amebaka yani kesi kibao
usimuone hivyo hapo mikikaa tu vibaya anaweza
akaiba simu zenu na pochi" Sister kaniharibia sana kwa wale mademu
wakabaki tu wananisikitikia huku wananicheka
nimeona sana aibu nikawaambia "nyie warembo
dada anawadanganya anataka tu kuniharibia mimi
hapa mtaani wananiita Criss brown ni msanii wa
Bongo fleva na movie dada anaona akiwaambia ukweli mtaanza kunipenda ndio maana
ananiharibia"
Wale mademu kusikia vile ndo wakazidisha
kicheko hadi wengine wameanguka chini
Sister akanirukia amenikunja ameanza kunipiga
makofi mbele ya wale mademu akaniambia "wewe litoto lipumbavu sana yani ukiniona tu nimekuja na
rafiki zangu hapa nyumbani unaanza misifa hebu
toka hapa wewe utawawezea wapi wanawake
kama hawa wasomi wewe shule hutaki kazi hutaki
umekalia uwizi tu"
Daah sister amenipiga makofi alivyoniachia tu nimetoka nduki balaa peku supra zangu za ngozi
nimeziacha pale pale nimeenda kujificha nimelia
sana sister alivyoamua kuniumbua mbele ya wale
mademu wakati mimi nilikuwa na mpango wa
kumtongoza mmojawao Yani kashaharibu kila kitu
siwezi tena kupita hata pale kwao naogopa wakiniona wataanza kunicheka
Kakugusa tu, shemeji yako ningekuwepo lazima ningesaidia. Full mimbata.
 
Ha ha ha ha ha STUNTER angalau nimecheka! ila sidhani kama ni ya kweli
 
Je Ni kweli au porojo...?
Mkuu naona hili jukwaa litakupa tabu na presha bure bure kwajinsi ulivyo serious,
bora The bold aje akutoe tu humu muende intelligent kujadili matundu ya risasi alizopigwa osama zilikuwa na ukubwa gani,
 
Kuna mademu juzi wamehamia hapa karibu na
nyumbani wazuri vibaya mno nilivyowaona tu
nikasema lazima nimtongoze mmoja
Leo nimetoka zangu kanisani sijaamini macho
yangu nimewakuta wale mademu nyumbani
wamekaa sebuleni wanapiga stori na sister nimefurahi sana nikasema wamejileta wenyewe
lazima nikomae na mmoja hadi kieleweke
Nimeingia fasta gheto nikatupia Sweta langu la
Dume condom nikatupia Pensi yangu ya Turubai
ndani nikavaa boxer yangu ya Chadema chini
nikatupia supra yangu ya ngozi juu kofia yangu ya mkeka kama kawaida na miwani yangu myeusi
mikubwa kama ya wachomelea vyuma
Nikajipulizia na Rungu yangu ili ninunukie
nilivyoona niko fiti nimetokelezea nikajipitisha pale
sebuleni kwa wale mademu na mwendo wangu
wa kunesanesa kama nataka kuanguka Wale mademu walivyoniona wakaanza kucheka
nikajua tayari wameshanishobokea mmoja
akamuuliza sister "huyo ndo mdogo wako?? Sister
akawajibu "ndiyo anaitwa chogo ndizi" mmoja
akamuuliza sister "mbona anaonekana ana vituko
sana ni muigizaji?? Sister akamjibu "hapana sio muigizaji mtundu balaa
anajifanyaga sana sharobaro hapo shule kaacha
hata hatumuelewi kila siku kesi za uwizi hapa
nyumbani mara amebaka yani kesi kibao
usimuone hivyo hapo mikikaa tu vibaya anaweza
akaiba simu zenu na pochi" Sister kaniharibia sana kwa wale mademu
wakabaki tu wananisikitikia huku wananicheka
nimeona sana aibu nikawaambia "nyie warembo
dada anawadanganya anataka tu kuniharibia mimi
hapa mtaani wananiita Criss brown ni msanii wa
Bongo fleva na movie dada anaona akiwaambia ukweli mtaanza kunipenda ndio maana
ananiharibia"
Wale mademu kusikia vile ndo wakazidisha
kicheko hadi wengine wameanguka chini
Sister akanirukia amenikunja ameanza kunipiga
makofi mbele ya wale mademu akaniambia "wewe litoto lipumbavu sana yani ukiniona tu nimekuja na
rafiki zangu hapa nyumbani unaanza misifa hebu
toka hapa wewe utawawezea wapi wanawake
kama hawa wasomi wewe shule hutaki kazi hutaki
umekalia uwizi tu"
Daah sister amenipiga makofi alivyoniachia tu nimetoka nduki balaa peku supra zangu za ngozi
nimeziacha pale pale nimeenda kujificha nimelia
sana sister alivyoamua kuniumbua mbele ya wale
mademu wakati mimi nilikuwa na mpango wa
kumtongoza mmojawao Yani kashaharibu kila kitu
siwezi tena kupita hata pale kwao naogopa wakiniona wataanza kunicheka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] STUNTER katika ubora wake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mpaka machozi ingawa kuna muda nilikua naona umeandika ujinga ila nimeishia kucheka[emoji23]
 
Naomba
namba ya sista wako nimwambie alivyofanya si vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom