[h=6]Kidemu
kinachojifanya chenyewe ni kifundi cha message za kimahaba kilimtumia
bwanake message kama umelala nirushie ndoto yako,kama unakula nirushie
chakula,kama unalia nirushie machozi yako,kama unazungumza nirushie
maneno yako matamu bwanake akamjibu niko chooni mpenzi nakurushia M***
[/h]