Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 75,674 Reaction score 107,110 Jun 11, 2011 #1 Inachekesha, kipindi Richard na Mwisho wanawameng'enyua dada wa nchi za watu tulifurahia kwa nguvu zoote! Sasa dada yetu Bhoke kaminywa tunawika ati ametuaibisha! tuache mambo ya ajabu ni peremende zake! heheheheh...
Inachekesha, kipindi Richard na Mwisho wanawameng'enyua dada wa nchi za watu tulifurahia kwa nguvu zoote! Sasa dada yetu Bhoke kaminywa tunawika ati ametuaibisha! tuache mambo ya ajabu ni peremende zake! heheheheh...