Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,008
habari zishagaa hakuna mtu asiejua s unajua taarifa mbaya husambaa kwa haraka zaidi sasa kuna haja gani kufosi ndoa kwa scenerio kama hiyo? huku baba anataka warudishiwe mahari huku mama ansema haiwezekani ndoa ipo pale paleMama hataki kujibu swali la jamii kwann ndoa haijafungwa..
of course haipo sababu mwanaume ataoaje mlezi wa wana? shida ni huyo mama yakeHamna ndoa hapo
Mama yupo vizuri kama mpaka ana uwezo wa kubishana Hadi na Baba safi.....habari zishagaa hakuna mtu asiejua s unajua taarifa mbaya husambaa kwa haraka zaidi sasa kuna haja gani kufosi ndoa kwa scenerio kama hiyo? huku baba anataka warudishiwe mahari huku mama ansema haiwezekani ndoa ipo pale pale
haya ndio mambo ya kuoana mkaachana watoto akashikilia mama tena akiwa mama hana akili lazima apoteze watotoMama yupo vizuri kama mpaka ana uwezo wa kubishana Hadi na Baba safi.....
sawa ila unaweza kweli kumshinikiza mwanao aoe kisa watubwameshatoa michango huku unajua kabisa mchumba wangu halali kampa utam shemejie?Mama anataka kula ubwabwa bhana ya nini kuhangaika na mwanao
Huu ukoo utakuwa shida za laana na mikosibibie kafumaniwa n mume wa nduguye
amini nikuambiayo ni mama yake mzazi kabisaaa kamzaa kwa uchunguUyo sio mama mzazi, na kama ni mama kweli basi ana maslahi na harusi.
Ninavyowajua wanawake na wivu, alafu akubali mtoto wake akaoe burudani kwa wote? Hapana.
bet win or lost?Marriage Contract versus Marriage-Business Contract!
kama shost ameweza kutoa utamu wa baby wake kwa shemeji anaweza akaolewa na bado akagawa kama hana akili vizur yan unaoa kwa gharama wana wanaloweka bureHuu ukoo utakuwa shida za laana na mikosi
Never mkuusawa ila unaweza kweli kumshinikiza mwanao aoe kisa watubwameshatoa michango huku unajua kabisa mchumba wangu halali kampa utam shemejie?
Hatari sana. Hili lilimkuta jamaa yangu, alimfunia mkewe mtarajiwa siku 2 kabla ya ndoa na bado akamuoa. Hadi leo wapo wote mwaka kama wa nanekunae mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu...
Hajakutana na vijana watata .....angeenda kuoa yeye labda ......haya ndio mambo ya kuoana mkaachana watoto akashikilia mama tena akiwa mama hana akili lazima apoteze watoto