Kwa hiyo nyie ndio faraja ya wajana Na wenye upweke, mweee, pole zenu.Nadhani single mothers Huwa mnatuelewa Sana
😀😀😀😀sasa ndio nini ?? anyway nimeingia cha kike ...topic kama hzi ni zakitoto wacha watu wazima tukimbie
hamna kitu wapo wapo tu😀😀😀😀
nilijua kuna ushauri kabambe kuhusu vijana wa umri huo kumbe hola
Kiben-ten ktk ubora wake akijipigia promo [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nadhani single mothers Huwa mnatuelewa Sana
Are u sure u aint 11-15?Nadhani single mothers Huwa mnatuelewa Sana