Wafuasi wao nao wanamuita zitto mnafiki........ila wenyewe furaha tele, mashabiki matusi mbeleWatu mfano Lissu na Kubenea siwezi kuwaamini hao jamaa ni wanafiki, furaha yao yaweza kuwa ni ya muda wakipishana kidogo kesho utashangaa kuona gazeti la Mwana halisi linaanza kumuandama na kumuandika vibaya Zitto.
nipe list ya wanasiasa wa sasa ambao sio wanafiki hapa duniani,huo unafiki ndio inayo fanya siasa iitwe siasaWatu mfano Lissu na Kubenea siwezi kuwaamini hao jamaa ni wanafiki, furaha yao yaweza kuwa ni ya muda wakipishana kidogo kesho utashangaa kuona gazeti la Mwana halisi linaanza kumuandama na kumuandika vibaya Zitto.
sumaye kuhama chama hakumuondolei sifa ya kuwa waziri mkuu msitafu,magufuli kama kiongozi mkuu wa serikali ilimbidi kufanya hivyo hata kama walikuwa ni wan uadui usio husisha siasaRais Magufuli alikwenda kumuona Sumaye alipokuwa mgonjwa lakini wakati wa kampeni walikuwa wanapigana vijembe majukwaani. Lakini cha kushangaza utakuta mapimbi mtaani wanachaniana mashati na kutoana damu kwa sababu tu ya ushabiki wa kisiasa. Jamii yetu imejaa watu wengi ambao ustaarabu wa kawaida tu umewapita pembeni.
nipe list ya wanasiasa wa sasa ambao sio wanafiki hapa duniani,huo unafiki ndio inayo fanya siasa iitwe siasa
Wwe popoma Ficha ujinga wakoUnafiki una kiwango. Kiwango cha unafiki cha mfano wa Lissu na Kubenea ni kikubwa mno ukilinganisha na wanasiasa wengine.
Wwe popoma Ficha ujinga wako
Unapima kwa kutumia nini? Maana inaonekana unajua sana nani mnafki na nani kamzidi nani.Unafiki una kiwango. Kiwango cha unafiki cha mfano wa Lissu na Kubenea ni kikubwa mno ukilinganisha na wanasiasa wengine.
Unapima kwa kutumia nini? Maana inaonekana unajua sana nani mnafki na nani kamzidi nani.