Sisi Sio Malaya wala Madadapoa

Sisi Sio Malaya wala Madadapoa

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,038
Jamani wanawake sio majamvi ya wageni. Hiki ni kilio cha wanawake wote duniani. Hebu ona mfano huu: Ni kwamba leo unatongozwa na Mentor unagundua ana vimada kibao nje unaachana nae. Mwezi unaofata unakuwa na CHAMVIGA 1 anaenda kwao anapewa mke na wazazi wake anakuacha. Unakutana tena na ddsmchau1712 anakuomba muwe wachumba mnakaa miaka kadhaa hakuna dalili ya ndoa unaamua kumuacha na mnakutana tena na mtoto wa mtumishi wa bwana Jamaa_Mbishi wazazi wake walokole wanagoma usiolewe naye mnaachana. Baada ya muda unakutana na Rutashubanyuma dada zake wanamzuia asikuoe kutokana na tofauti ya kabila. Sasa utafanyaje? Kama umeelewa kuanzia leo msituite malaya na pia hatubadili wanaume kwa kujitakia ni mazingira magumu yanachangia.
 
sista malaya na mamadadapoa ni akina nani hao
unaweza nisaidia job desc zao mpenzi

NANAANI KAKWAMBIA UKICHUMBIWA LAZIMA UOLEWE ..NA UKIOLEWA NI LAZIMA UACHIKE???
 
Ukishabadili wanaume wawili-watatu basi anabadilishwa jina unaitwa malaya hata kama hujiuzi kitaa. Naongelea decent girls
 
Kumbe target ni kuolewa? Basi jitahidi kulenga sio kila mwanaume akudanganye nawe ukubali
 
wa siku hizi hampo hivo kwamba unakuwa na mwanaume mmoja then ukiona hapaeleweki na unaenda kwa mwingine .nyie wasikuizi uko na mimi ambaye unahisi nitakuoa at the same time uko na lizee ambeye ndo ana provide na kusolve matatizo yako na pia upo na ki shakaji kingine kwa sababu tu ya good looking hapo achana na yule anayemega kisela kwani we mwenyewe ndo unasema anakufikisha kileleni na anakuwa tu wakitaa hana mbele wala nyuma hapo achana na washikaji ambao ulikuwa nao huko nyuma siku ukimkumbuka na yeye akikazia unampa wenyewe mnaita one night stand duh .....nyie vicheche halipingiki
 
Nnyie sio malaya ati!, sema munapenda kutupa pipi tu tujiskie raha na sisi tunafurahia maisha yasonge
 
Yote hayo ni majina, cha muhimu ukiona unataka kuwa kama flani basi simama kuanzia hapo na safisha njia. Namaanisha yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kuanzia sasa ikitokea mtu anakuapproach na kutaka mahusiano na wewe usimpe papuchi ili list isiendelee ila mnakuwa marafiki tuu na hakikisha una maintain hiyo status sio unamnyima huyo halafu unampa hassan utaharibu kila kitu. Tangu mwanzo umueleze msimamo wake kwako na wewe umwambie msimamo wako kuwa umejikuta umetembea na wanaume kama 5 na umwambie kila kitu usimfiche tangu wa kwanza hadi wa mwisho kisha mwambie nimegundua makosa yangu na sitaki kuendeleza. Kama uko sirias na umeridhika na mimi nenda kwa wazazi wangu tuishi pamoja papuchi yangu utapata laah bora utafute kwingine. Na useme hayo ukimaanisha na ukijiamini na wala usiweke mbele kuolewa, ndoa inakuja baada ya mahusiano kunoga na mahusiano si lazima ngono.
No one will call you prostitute after then once you decide not to take out ur pant.
 
Tatizo kila mtu anaingia kwenye uhusiano kwa sababu binafsi.....
 
Jamani wanawake sio majamvi ya wageni. Hiki ni kilio cha wanawake wote duniani. Hebu ona mfano huu: Ni kwamba leo unatongozwa na Mentor unagundua ana vimada kibao nje unaachana nae. Mwezi unaofata unakuwa na CHAMVIGA 1 anaenda kwao anapewa mke na wazazi wake anakuacha. Unakutana tena na ddsmchau1712 anakuomba muwe wachumba mnakaa miaka kadhaa hakuna dalili ya ndoa unaamua kumuacha na mnakutana tena na mtoto wa mtumishi wa bwana Jamaa_Mbishi wazazi wake walokole wanagoma usiolewe naye mnaachana. Baada ya muda unakutana na Rutashubanyuma dada zake wanamzuia asikuoe kutokana na tofauti ya kabila. Sasa utafanyaje? Kama umeelewa kuanzia leo msituite malaya na pia hatubadili wanaume kwa kujitakia ni mazingira magumu yanachangia.

Y me jamani Sista..y me!

Mi wala mpango wa kuoa sina...badili huo mfano bana la sivo ntakusemelea...
 
Last edited by a moderator:
ni rahisii tuu mpe mtu sababuu ya kukupenda na sioo ya kukuchezeaa ni hayo tuu
 
Kwani hamuwezi kusema HAPANA!
Kwani kila anayekutongoza lazma awe BOYFRIEND!
Kwani kila boyfriend wako lazma umpe MBUNYE!

Tatizo baadhi yenu kila anayewatongoza mnakubali awe BOYFRIEND!
Tatizo baadhi yenu kila anayekuwa boyfriend lazma mumpe MBUNYE!
Tatizo baadhi yenu neno HAPANA halipo kwenye msamiati tena!
 
Duuh SISTA umenitaja kwenye post yako mpaka nimeogopa!!? Any way unadhani ukianzisha mahusiano na mwanaume unategemea nini!? Nini huwa ni malengo yako kwenye mahusiano? Na nini huwa tahadhari kwako? Maana wanaume waoaji tupo wachache na wengine ndio tumeshaoa hivyo!! Kazi unayo!!!
 
Jamani wanawake sio majamvi ya wageni. Hiki ni kilio cha wanawake wote duniani. Hebu ona mfano huu: Ni kwamba leo unatongozwa na Mentor unagundua ana vimada kibao nje unaachana nae. Mwezi unaofata unakuwa na CHAMVIGA 1 anaenda kwao anapewa mke na wazazi wake anakuacha. Unakutana tena na ddsmchau1712 anakuomba muwe wachumba mnakaa miaka kadhaa hakuna dalili ya ndoa unaamua kumuacha na mnakutana tena na mtoto wa mtumishi wa bwana Jamaa_Mbishi wazazi wake walokole wanagoma usiolewe naye mnaachana. Baada ya muda unakutana na Rutashubanyuma dada zake wanamzuia asikuoe kutokana na tofauti ya kabila. Sasa utafanyaje? Kama umeelewa kuanzia leo msituite malaya na pia hatubadili wanaume kwa kujitakia ni mazingira magumu yanachangia.

mngekuwa mnazunguka kwa wote hao bila kugawa papuchi tungewaheshimu sana, tatizo pooooote huko mmetumika mkiitwa hayo majina sio halali kweli?
 
mimi nilishawahi kuambiwa na msichana mmoja(sio gf wangu) nanukuu maneno yake:
"mimi God usinione na wanaume wengi ninachokifanya ni hiki wa kwanza namtumia kuchat nae tu pale ninapojisikia, huyu wa pili namtumia kunisindikiza safari zangu za hapa na pale, wa tatu kazi yake kunitumia vocha tu, wa nne kwenda nae kwenye kumbi za starehe, wa tano kunipa hela ya matumizi kila siku, wa sita kunibembeleza ninapoudhika, wa saba kunikata kucha na kunichagulia mavazi na wa nane ndiye ninayempenda kweli..."
nikashusha pumzi halafu nikamuaga!!
hivi huyu sio malaya kweli??
 
Yote hayo ni majina, cha muhimu ukiona unataka kuwa kama flani basi simama kuanzia hapo na safisha njia. Namaanisha yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kuanzia sasa ikitokea mtu anakuapproach na kutaka mahusiano na wewe usimpe papuchi ili list isiendelee ila mnakuwa marafiki tuu na hakikisha una maintain hiyo status sio unamnyima huyo halafu unampa hassan utaharibu kila kitu. Tangu mwanzo umueleze msimamo wake kwako na wewe umwambie msimamo wako kuwa umejikuta umetembea na wanaume kama 5 na umwambie kila kitu usimfiche tangu wa kwanza hadi wa mwisho kisha mwambie nimegundua makosa yangu na sitaki kuendeleza. Kama uko sirias na umeridhika na mimi nenda kwa wazazi wangu tuishi pamoja papuchi yangu utapata laah bora utafute kwingine. Na useme hayo ukimaanisha na ukijiamini na wala usiweke mbele kuolewa, ndoa inakuja baada ya mahusiano kunoga na mahusiano si lazima ngono.
No one will call you prostitute after then once you decide not to take out ur pant.

Usimudanganye mwenzio, siku hizi hakuna anaye uziwa mbuzi kwenye gunia tena akisema watano hata kama ni wewe utajiuliza katika hao wote hakuna aliyemuoa sasa huyu ana tatizo gani? atakupa maswali mengi sana, mimi nacho jua mtu akikupenda hasikilizi mambo ya pembeni yeye aseme tu ana matatizo hasa huko kwenye papuch! au watu anao wapa nafasi ni wachezea papuch za watu si waoaji! leo hii kuna wifi anakataa mtu asiolewe sijui!!!! Mwanamke lazima umpe papuch mtu uliyelizika naye tena sana na si kujaribisha kuwa may be huyu atanioa!
 
Back
Top Bottom