Sisi Sio Malaya wala Madadapoa

Sisi Sio Malaya wala Madadapoa

Y me jamani Sista..y me!

Mi wala mpango wa kuoa sina...badili huo mfano bana la sivo ntakusemelea...

Usohofu ni mfano tuu, hata mwl darasani anatoaga mifano halisi itakayofanya wanafunzi waelewe upesi, lol
 
Usohofu ni mfano tuu, hata mwl darasani anatoaga mifano halisi itakayofanya wanafunzi waelewe upesi, lol

Nitumie kwenye mfano mwingine mzuri next time..i will be watching!:crying:
 
kwa wote hao ukose! Lazma kunamkono wa mtu.
 
Kongosho tabu ipo hapo kwenye hako ka likizo. Atagoma kwa J akija kubanwa na H atatoa tu...halaf ye mwenyewe si yupo sawa kiafya? Labda awe anatumia yale mavitu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani wanawake sio majamvi ya wageni. Hiki ni kilio cha wanawake wote duniani. Hebu ona mfano huu: Ni kwamba leo unatongozwa na Mentor unagundua ana vimada kibao nje unaachana nae. Mwezi unaofata unakuwa na CHAMVIGA 1 anaenda kwao anapewa mke na wazazi wake anakuacha. Unakutana tena na ddsmchau1712 anakuomba muwe wachumba mnakaa miaka kadhaa hakuna dalili ya ndoa unaamua kumuacha na mnakutana tena na mtoto wa mtumishi wa bwana Jamaa_Mbishi wazazi wake walokole wanagoma usiolewe naye mnaachana. Baada ya muda unakutana na Rutashubanyuma dada zake wanamzuia asikuoe kutokana na tofauti ya kabila. Sasa utafanyaje? Kama umeelewa kuanzia leo msituite malaya na pia hatubadili wanaume kwa kujitakia ni mazingira magumu yanachangia.


Yaani Jamaa_Mbishi atashindwa kweli kuwabishia wazazi wake kama anakupenda kihivyo? What is ulokole, si ni jina tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom