Sisi ni wezi wa simu Kariakoo

duuh wanaonekana wamejiwenga
 
Hawa ndio walikuwa tumaini la Lowasa kumpeleka ikulu
 
Mm nawashauri endeleeni tu kuiba kwani kwenda binguni n lazimaa ,
 
Nataka nione la "SISI NI WANUNUZI WA SIMU ZA WIZI KARIAKOO" Tusije walaumu humu kumbe na wanunuzi wa hizo simu tunao humu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…