kufikia 2020, TV nyingi zisizo na wayangazaji wabunifu( wanaotegemea wenzao ili kuendesha vipindi vyao) e.g azam na WCB watafunga vituo vyao maana azam ili aendeshe vipindi vyake ni mpaka kuwepo na ligi za kandanda na pia WCB ili waendeshe vipindi vyao ni mpaka awe na interview na arts/ma- star
#kwa kweli mnaomiliki media kuweni wabunifu.