mkuu ilikuwaje tena!!angalia hao jamaa wameshika mpini eti
pole, hope jamaa watalishighurikia!waache washike tu bana!! kuna raha gani sasa kuwa JF wakati hupati notifications kama uko quoted ama mentioned?
yani unakuwa km una-type microsoft word bana!!!
nimeshareport tatizo mara kibao sipatiwi ufumbuzi!!
notifications zinakuja baada ya saa moja! inaboa!