:lol::lol::lol::lol: ODM sikuwezi! you're crazy! :lol::lol::lol:Kuna binti alikuwa anamsifia jamaa yake kinoma. Walipoachana baada ya jamaa kuchacha alikuja na mpya: "Nilimvumilia sana jamaa yenu, kwanza kadude kenyewe kadunju nikikohoa kanatoka" Khaaa! Eti "Akipanda kwenye kikojoleo anamwaga mkojo mnene hata kabla kabamia hakajagusa shavu, avadhali ya jogoo"
Niliona iko quoted in a thread I am interested in, ndio nikafata quotation link. loooooolKhee! Mtoto mshakunaku weye..... umeenda kufufua vibudu! Khaa!
Orayt utakayoyasoma na kuyasikia uyaache hukohuko.....:eyebrows:Niliona iko quoted in a thread I am interested in, ndio nikafata quotation link. looooool
Hii ilirushwa wakati nilipause kwa muda wa wiki 3 or so, i didn't see it! :lol:
Orayt utakayoyasoma na kuyasikia uyaache hukohuko.....:eyebrows:
hujambo love? ulilala jana? pole sana kwa kukosa usingizi? au shem hakukumbatii vizuri?
Hahahahaha, no comment Smiley...hujambo love? ulilala jana? pole sana kwa kukosa usingizi? au shem hakukumbatii vizuri?
Er? Nlifikiri madaraka ulonikabidhi ni with full authority....!
kama unapay kununua frij, gar nyumb na mke unatoa mahar ili vyote vije kuw sehem ya maisha yako, mwanamk nahis anafanan zaid na hiv vitu. labda mahar zifutweBabu duh naona siredi inazidi kupata tuu mwelekeo mpya
Nafikiri hapa ni kupishana tuu kwa kauli na kila thread ya mmoja wenu ina yake ya kukubalika na kutegemewa
Na kubishana kwetu hapa ni katika kufikia muafaka wa mwanaume halisi ni yupi
Sidhani hata kuwa mwanaume halisi hana mapungufu yake na kuwa mwanaume halisi yuko perfect kwa kila anachokifanya
Mwanaume wa aina yako Babu kuna sehem naye ana mambo yake ambayo ni mapungufu na ambayo hayaondoi uanaume wake na mwanaume wa aina ya Bishanga naye ana mambo yake tena yanayomrudisha kwenye uanaume wake japo mapungufu anayo
Ushauri wangu hapa ni kuwa yote yaliyochangiwa kweney topic hii na ya Bishanga yana umuhimu wake na ni kila mwanaume halisi anayejitambua kuwa yeye ni mwanaume ayachukue na kujiangalia ni wapi anakosea na wapi anatakiwa achukue hatua haraka kurudi kwenye uanaume wake
Na hapo hapo kumpa nafasi mwanamke kama mwanamke na sio chombo au kifaa ambcho hakina uhai au thamani katika maisha ya mwanaume
Ni hayo tuu ila Babu usiniachie laana
wanaume huwa tunajitia undava sana eti tunamiliki kumbe tunawapendezeshea wajanja wa mtaani,oooh mi mwanume bana....kumbe chai unapika wenzio wanywe ....oh 6x6 namtosheleza kumbe unampapasa tu,wenye mitalimbo ya kiukweli ndo wanamalizia shughuli...kha!
hahaaaaaaaaa babu ijumaa njema usisahau kuwahi nyumbani.
Yaah, sisi ndiyo wanaume bwana! Mwanaume harigi hata kama atasifiwa kwa mazuri anayoyafanya, kwani anajua ni moja ya majukumu yake na ni lazima ayatekeleze. Wadada na vivulana vidogo ndo wanaringa!You are absolutely right. HAyo ni mambo ya msingi. Ukishindwa unaitwa majina kibaaaao.