Alex Xavery
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 230
- 196
Kwa mara ya kwanza ktk historia ya club yetu pendwa @kagerasugar kushika nafasi ya juu kama hii ya 3 katika ligi kuu ya Tanzania bara. Haikuwa kazi rahisi, sisi KAGERA SUGAR F.C FANHOOD tulitoa support yetu ya nguvu na vijana wametupa heshima msimu huu 2016/2017. Inshallah 2017/2018 ni kushika nafasi ya juu zaidi ili kutoka nje ya mipaka ya Tanzania tukipeperusha bendela ya Taifa. Asante sana wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha lengo.