Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Sep 27, 2022 #1 Wadau habarini za kazi. Bado natafuta wateja wa kamba za katani. Na pia naombeni msaada kupata kufahamu kuna wachina kwa dar wananunua sana kamba za katani. Mwenye kufahamu hili naomba anipatie link. Attachments png-clipart-roll-of-brown-rope-illustration-manila-rope-deck-sisal-wire-rope-a-rope-cartoon-re...png 137.9 KB · Views: 28
Wadau habarini za kazi. Bado natafuta wateja wa kamba za katani. Na pia naombeni msaada kupata kufahamu kuna wachina kwa dar wananunua sana kamba za katani. Mwenye kufahamu hili naomba anipatie link.
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,868 Sep 27, 2022 #2 Weka hata picha ya kamba zako
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,769 Reaction score 39,533 Sep 27, 2022 #3 Watanzania kinachotuangusha mara nyingi sio ugumu wa soko bali ni kwenye kuitangaza biashara yao..... Unaweza kuwa na bidhaa nzuri lakini unashindwa kuuza kwa kuwa taarifa zako hazijitoshelezi kwa wateja wako
Watanzania kinachotuangusha mara nyingi sio ugumu wa soko bali ni kwenye kuitangaza biashara yao..... Unaweza kuwa na bidhaa nzuri lakini unashindwa kuuza kwa kuwa taarifa zako hazijitoshelezi kwa wateja wako
Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Sep 27, 2022 Thread starter #4 google helper said: Weka hata picha ya kamba zako Click to expand... Teyar mkuu
Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Sep 27, 2022 Thread starter #5 KikulachoChako said: Watanzania kinachotuangusha mara nyingi sio ugumu wa soko bali ni kwenye kuitangaza biashara yao..... Unaweza kuwa na bidhaa nzuri lakini unashindwa kuuza kwa kuwa taarifa zako hazijitoshelezi kwa wateja wako Click to expand... Mkuu napokea mawazo yako na maoni,ili niweze kuboresha hili. Ahsante
KikulachoChako said: Watanzania kinachotuangusha mara nyingi sio ugumu wa soko bali ni kwenye kuitangaza biashara yao..... Unaweza kuwa na bidhaa nzuri lakini unashindwa kuuza kwa kuwa taarifa zako hazijitoshelezi kwa wateja wako Click to expand... Mkuu napokea mawazo yako na maoni,ili niweze kuboresha hili. Ahsante
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,339 Reaction score 25,858 Sep 27, 2022 #6 Ngoja niulize ulize wadau nitakurudia. Una uwezo wa kusambaza mzigo kias gani Kwa mwez
Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Sep 27, 2022 Thread starter #7 Sir Midabwada said: Ngoja niulize ulize wadau nitakurudia. Una uwezo wa kusambaza mzigo kias gani Kwa mwez Click to expand... Nitashkuru .Mzigo upo wa kutosha mkuu, nipo kiwandani.
Sir Midabwada said: Ngoja niulize ulize wadau nitakurudia. Una uwezo wa kusambaza mzigo kias gani Kwa mwez Click to expand... Nitashkuru .Mzigo upo wa kutosha mkuu, nipo kiwandani.