Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,336
- 10,911
Sasa kama mwanamke anapenda handsome boy Mbona mimi ishawahi kupendwa zaidi yamara moja nahata hela sina
Ukisema kupendwa unajua maana yake lakini?
Sasa kama mwanamke anapenda handsome boy Mbona mimi ishawahi kupendwa zaidi yamara moja nahata hela sina
Maana yake hiyo hiyo unayoijua wewe, huna hela sura yakawaida alafu mtoto mkali anakuvulia nguo nawala ajazarishwa kuna nn kingine hapo zaidi yaupendo mkuu.Ukisema kupendwa unajua maana yake lakini?
Bora hata wewe mkuu. Wengi wananiambia eti ninaupungufu wanguvuHawa wenye umri mkubwa sio kwamba wanashindwa kukojo.a,kinachowakwamisha wasiweze kwa haraka ni kutokana na mawazo,majukumu au changamoto za maisha walizonazo.Ukiweza kuwatuliza mawazo yao...na wao wataleta hisia kwenye tendo na wote mtafurahia.
Asipoleta hisia kwenye tendo itakuwa ni kazi bure,unaweza kupampu hata masaa 2 na asifikie hitimisho.Bora hata wewe mkuu. Wengi wananiambia eti ninaupungufu wanguvu
Swali la kiufundi Sana lakini lazima atakupa majibu ya kitotoSo ukioa mke wako hatakua wala kuongezeka umri wala kuzeeka?