Sirudii tena kufanya ujinga highway

unaanzaje kuovertake chombo ambacho kikiwa na speed 50 wewe utatakiwa uwe na speed 80 ndo ukipite.
 
Kipande kigumu hicho hasa kale kamtelemko kutoka magereza shell hadi mkambalani
 
Umeamua kutufunga cheni za semitrela siyo, asante wewe mjanja.
 
Kiongozi sikufanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia makalio dereva wa Semi aliongeza mwendo nikiwa katikati bahati Lori nililopishana nalo dereva Mjeda alitumia busara kutanua nikapenya
Niko ndani ya hiace juzi, nashuka senkenke, kwa mbele kuna semi inakuja, inapanda mlima, kwa nyuma kuna mabasi kama matano,, basi moja Allys likaanza overtaking tena kwa speed kubwa,, kama dreva wa hiace asingetumia busara kuiweka gari pembeni,, saa hizi ningekuwa mbinguni yaani,, maana nilikua front seat.. [emoji1751]
 
Ukijikagua hukuchafua boxer?
 
Bodaboda huwa mnajipata ninyi ndio madereva mnaojua kila kitu...
 
Mi kuna boda nilimkodi akafanya huo upuuzi wa kupita katikati ya semi mbili mandela road, niliapa sipandi pikipiki kamwe, huku naona mitairi mikubwa huku nako hivyohivyo nilitokwa na makamasi kama kondoo
Hukujjamba?
 
Uache ujinga😀
 
Kwanza ku overtake unatakiwa uwe na mahesabu makali na uwe na uhakika pia ku overtake Lorri na hicho kipiki piki chako n kujitakia kwenda kuzimu hiyo n high way mzee
 
Wewe ni Boya! Serikali nayo imekuajiri wewe?
 
Yaani mtu yeyote anae overtake simpendi basi tu , Yaani kuna sehemu unaona chance haipo ila ndo hivyo ntu ashachomoka mimi roho mkononi.

Mwalimu wangu alonifundisha udereva alinambia ukiwa unaendesha unakuwa umerisk maisha yako. Umakini unahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…