Ungeingia tu chemba Yutong ingefanya yakeπKuna kidaraja Moro town maeneo ya nanenane niko naelekea msamvu, basi la Abood likatoka nyuma likapiga taa nyekundu mbio likanibana kwenye mavyuma ikabidi nigongeshe pikipiki kwenye mavyuma, bahati nzuri nilkua sijaingia katikati ya daraja. Nilihisitayar niko kaburini.
Pikipiki ni baiskeli iliochangamka sielewi kwanini hata inakatiwa leseni!Pikipiki siyo usafiri ni chombo cha moto
Picha tafadhariKuna kidaraja Moro town maeneo ya nanenane niko naelekea msamvu, basi la Abood likatoka nyuma likapiga taa nyekundu mbio likanibana kwenye mavyuma ikabidi nigongeshe pikipiki kwenye mavyuma, bahati nzuri nilkua sijaingia katikati ya daraja. Nilihisitayar niko kaburini.
π€£π€£π€£π€£π€£Ulivyoandika tu TAWAHI nikajua hamna mtu hapa
Mkuu umeongea kitaalamu pikipiki za Mchina hamna kitu ingekua ya Mjapani hata ikiwa 125 CC Two Stroke ni nyepesi kuchanganya wenye malori unawala km wamesimama tatizo pikipiki Two Stroke hazitakiwi duniani sababu ya uhifadhi wa mazingira.Siku nyingine ujifunze kuwa pikipiki ya 150cc nina assume boxer huwa inazalisha maximum 20HP on full throttle!
Overtaking ya kimashine kidogo namna hio ni ngumu ila mnajitiaga wendawazimu tu kujifanya mnaweza kukimbizana na magari na hizo pikipiki zenu huwa nawashangaa mno.
Hio semi kama ni scania inaweza isipungue 400HP yani amekuzidi power almost mara 20 ya pikipiki yako hio. Ukiwa highway kuwa mpole tu acha mbwembwe za ku overtake malori maana akikaza mguu kidogo tu huwezi kumkata.
Umesahau: kama una stress never na never usingie barabarani esp highway.Ukiwa barabarani.
1.kuwa mvumilivu
2. Ondoa hasira
3. Overtake ni kusogeza siku zako za kufa.
4. Fuata sheria za barabarani
5. Usiku mwisho 60km/hr
6. Kuendesha kasi kunaua
7.maisha matamu lakini mafupi kwa nini uyafupishe tena?
AlhamdulillahUngeingia tu chemba Yutong ingefanya yakeπ
Nilikuona na nikqshangaa maamuzi yako ila baadaye nikadhani mmeingia ubia mnatengeneza movie na wale wajedaJamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.
Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.
Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili
Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi kuna boda nilimkodi akafanya huo upuuzi wa kupita katikati ya semi mbili mandela road, niliapa sipandi pikipiki kamwe, huku naona mitairi mikubwa huku nako hivyohivyo nilitokwa na makamasi kama kondoo
MKUU HUKUJINYEA KWELI ππππKiongozi sikufanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia makalio dereva wa Semi aliongeza mwendo nikiwa katikati bahati Lori nililopishana nalo dereva Mjeda alitumia busara kutanua nikapenya
Kiongozi hapana sikujinyea ila mwili ulipigwa ganzi hadi nikahisi sehemu ya siri kunywea nadhani ilikua km kipisi cha fegiMKUU HUKUJINYEA KWELI [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yani angepiga selfie ya buriani?ππππHakuna picha hapo mkuu jinsi ulivyopenya
Siku zote madereva wa Semi trailer huwa wana matatizo makubwa mawili.Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.
Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.
Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili
Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.