Haji Mashaka Nassoro
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 384
- 851
Ujinga wa kujaribu kifo mnaupataga wapi?,Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.
Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.
Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili
Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Ulifanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia matako. Kawaida kitendo cha ku-overtake hakitakiwi kutumia zaidi ya sekunde tatu. Zaidi hapo you risk your lifeJamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.
Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.
Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili
Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Kiongozi sikufanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia makalio dereva wa Semi aliongeza mwendo nikiwa katikati bahati Lori nililopishana nalo dereva Mjeda alitumia busara kutanua nikapenyaUlifanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia matako. Kawaida kitendo cha ku-overtake hakitakiwi kutumia zaidi ya sekunde tatu. Zaidi hapo you risk your life
Jifunze kuwa na utulivu barabarani, ulimfukuzia dereva mjeda kwenda kumpa pongezi kwa kukuchelewesha kwenda kuzimu?Kiongozi sikufanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia makalio dereva wa Semi aliongeza mwendo nikiwa katikati bahati Lori nililopishana nalo dereva Mjeda alitumia busara kutanua nikapenya
Tatizo ulizidisha manjonjoMimi nikiwa nimenasa katikati ya semi mbili ๐๐๐
View attachment 2059401
Nimekuelewa, hapana shaka ulikuwa na mashine ya mchina.Kiongozi sikufanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia makalio dereva wa Semi aliongeza mwendo nikiwa katikati bahati Lori nililopishana nalo dereva Mjeda alitumia busara kutanua nikapenya
Siku nyingine ujifunze kuwa pikipiki ya 150cc nina assume boxer huwa inazalisha maximum 20HP on full throttle!Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.