Sirudi tena Jukwaa la Siasa



Ha ha haaa we utavunja ndoa ya kaka ako sasa hivi!!!!!!
Wii wako yeye hataki kumbato nusunusu anataka Dar - Kigoma sasanikiwa na stress naanzia kwa huyo anayedai nimekufa naoza (huyu kipaji kipya navumbua) si umeona kwao treni iliharibika!!!!!
Kule njoo bhana my dada unajua kuna watu wao wanaeneza sumu tu kwa jamii sasa bila kuwastuastua kiwa tunaona na kusoma watatutia hasara wooote!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…