Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,995
- 775
Ndugu kulikoni unaandika kwa hasira namna hii???Laana hat kucomment ngoja nimfumdishe kuamdikakwanza anakasoi kubwa

​watanzania wameshagundua biashara pekee ya kulala masikini na kuamka tajiri ipo magogoni pekee...inasikitisha sana
Nyalandu kutangaza kugombea URAIS, Siri zafichuka kutoka Kikao Cha KBH singida. Yadaiwa ni kumdhibiti na kumpunguzia nguvu Mwigulu Nchemba,Pia Muundo Mpya wa Baraza la Mawaziri Wamuweka tumbo Joto.
Hivi karibuni Speed ya Mwigulu Nchemba kukubalika kwenye mbele ya watanzania wengi kuhusu mbio za Urais umekuwa kubwa sana na zimeshtua wengi na kwamba kambi mbalimbali za wasaka urais zimeweka vikao vizito wakipanga mikakati mizito ya kumdhibiti kijana huyu aliyewavutia watu wengi kwa muda mfupi,Mbali zaidi anajoto la kuleta tumaini la kufanya mabadiliko ndani ya nchi na kubatizwa jina la SOKOINE WA PILI, VIJIWENI WAKIMWITA S2.
Taarifa kutoka kwa umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Singida zinasema CCM na UVCCM hawakushiriki tukio hilo kwa kuwa waligundua nia ya tukio hilo ni kumpunguzia nguvu Mwigulu Nchemba wala sio nia ya kukitaka kiti hicho kwa kumaanisha.Pia Nyalandu anacheza na akili ya Rais kuwa ndani ya Baraza Jipya linalotegemewa kufanyiwa marekebisho asiondolewe.
Akiongea kwa hasira kiongozi wa vijana machachari na wakereketwa wa siasa Singida Mjini ndugu "Benja"alisema hivi katka hali ya kawaida ni kweli Lazaro Nyalandu anaweza kutaka kuwa Rais?
Hapa tu Singida mjini na jimboni kwake hawezi kuita mkutano mpaka alete waimbaji akina Rose Mhando ndio watu wajitokeze. Hivi akitafuta Urais atasema ni kwa ajili ya nini? Atatwambia nini mtu ambaye familia yake yote inaishi nje ya Nchi yaani hawazijui kabisa shida za Watanzania.
Nyalandu mtu ambaye ukishakana naye mikopo anatafuta maji anawe eti Umemchafua,Leo hii anaomba Urais?Ni bora mm Benja niwe Rais kuliko Nyalandu.
Kwa upande mwingine Raifiki wa karibu wa kiongozi huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa wilaya mojawapo Singida amesema makambi ya wazee yamekaa yakaona Mwigulu Nchemba amejijengea umaarufu mkubwa mbele ya vijana, na makundi mbalimbali. Pia Mwigulu hanunuliki na hana Makundi yeye anaelewana na kila Mgombea,Hivi karibuni kundi moja tajiri lilishindwa kumnunua, kundi lingine limeona limtibulie mkoani kwake ionekane kaka mkubwa ametangaza ili baadae yeye aunge mkono.
Kwa mjibu wa taarifa za ndani za viongozi wa Singida zinasema wananchi wa mkoa wa Singida wana matumaini makubwa na Ndg Mwigulu Nchemba kuwakomboa watanzania," mngetuuliza watu wa Singida tuwape mtoto gani watanzania tungewapa Mwigulu Nchemba, " hawa wanaotangaza nia eti ili kumtibulia SOKOINE 2 wanajihangaisha tu, ngome ya Mwigulu ni Manyara, Singida, Dodoma, Simiyu, Tabora, Ruvuma,Unguja,Pemba,Dsm,Shinyanga, Mwanza,Geita n.k Kote huko wanajua Mwigulu ni mtoto wao, bado wazalendo wote nchi nzima, watoto wa masikini, masikini, vyuo vikuu, wafugaji walimu nk. Kwa upande mwingine, MNEC mmoja kijana anae tokea ukanda kilipofanyikia kikao hicho na yeye akihudhuria alisema nikweli kikao kilifanyika kwa zaidi ya masaa sita mfululizo kikijadili wagombea na mwisho wa siku kikaridhia kuwa ndani ya chama Mwigulu ndiye mgombea tishio, na kikaamua kutengeneza njama ya kumharibia kura kwa kumtuma moja ya kijana wanaetoka mkoa mmoja ajifanye au agombee kukagawa kura au kumkatisha tamaa Mwigulu.
Kwaupande mwingine kundi moja limeajiri watu wa kumchafua Mwigulu Nchemba mitandaoni na baadae kwenye magazeti kwa uongo. Katika kikao chao kilichokaa zaidi ya masaa matano pale Hilton Park walijadiliana namna ya kumdhibiti kijana huyu.
Kundi hili limekuwa likihisi kuwa Mwigulu ni mtoto wa no 1 kutokana na ujasiri wa kijana huyu kukemea vitu bila uoga mahali popote, wakati wote kwenye mambo yenye masilahi ya kitaifa, Mwigulu amekuwa akiwapinga hata mawaziri kwa msimamo usioyumba, amekuwa akimpinga Waziri mkuu, makamu hata Rais, wanasema kwanini anaujasiri hivi? Anautoa wapi?
Lakini mara nyingi akipinga kitu Rais naye anaunga mkono, mfano swala la Loliondo, bunge la katiba alikataa nyongeza ya siku 28, na juzi swala la kodi kwenye escrow.
Pia kundi hilo likasema tuseme huyu ni kijana wake maana inaonekana ndiye kijana anayeandaliwa kuachiwa nchi. Pamoja na kwamba JK alihamia SINGIDA 1976 tayari Mwigulu akiwa na mwaka mmoja,
Kundi hilo limeahidi kusaka taarifa za kughushi ili ionekane Mwigulu amezaliwa baada ya JK kuhamia Singida
Mwigulu, watashindana nawe lakini hawatashinda, kwani wanyonge tulioko nawe tuko wengi kuliko walioko upande wao.

Ikulu sio hospitali au wodi la wagonjwa ni mahali pa kazi panahitaji kijana shupavu kama Mwigulu sokoine 11si mwigulu wala nyalandu anayeweza kufika ikulu , ikulu si mahali pa kuchezea , kama umekula hela zao warudishie tu mjomba .
Huna jipya wewe toa hoja acha virojaHuyu mke wa madelu hii post yake ni mahaba niue