mkuu nilishuhudia demu mmoja anamhadithia mwenzie alivyo mteka mme wa mtu akasema alikuwa anabana sauti mpaka jamaa alikubali akasema kule kunako aliweka manjonjo jamaa alikuwa hana mpango wa kulala lakini alimsahau mke wake very sad. Nikaondoka kimya kimya nakuwaachia pilau mezani.
Wengine wanasimulia hadi alikojoa mara ngapi wakati wanafanyana.....mademu bana
Duh kumbe hata makazini ipo!!
Nilichoka!!
mkuu nilishuhudia demu mmoja anamhadithia mwenzie alivyo mteka mme wa mtu akasema alikuwa anabana sauti mpaka jamaa alikubali akasema kule kunako aliweka manjonjo jamaa alikuwa hana mpango wa kulala lakini alimsahau mke wake very sad. Nikaondoka kimya kimya nakuwaachia pilau mezani.
.. Ahaa Nyani noo bana mbona hii ni ya ndani sana Mkuu?
...................... Etiiii!?We acha tu hii ipo mpaka sehemu tunazo kunywa.
Kuna mama anajigamba mme wake kila anavyo taka kula tunda anakuta bikra huyo mama ukimwona huwezi amini anaenda mbali mzee kwani anaweza kupiga vitu dk2 tu ulimi nje ndo maana ipo kama bikra.
.. Ahaa Nyani noo bana mbona hii ni ya ndani sana Mkuu?
hapa nilijua tu kuna members NEVA MISS!
1-fidel 80
2-nyani ngabu
3-
4-
Yaani Mwanajamii tunasikia Mengi eti kimoja tu hoi nacho dk2 tu.
...................... Etiiii!?
H Kama Fidel napata picha jimama limekuruhusu ujiexpress kama mama chanja hujamsahau weye (joke)
hao watakluwa wanasema makusudi ili wawanase ninyi kaka zangu duh mbona hiyo ni hatari.
Yaani we acha tu mbona nipo kwenye ndoano tayari mbona nimeomba ushauri sana hapa kuna thread imepelekwa kwenye mambo ya kikubwa nimesha nasa nataka kujinasua pitia kule utaiona.
Haaa akumbe kweli pole kaka yangu!! ila halahala wa hivyo ukimshughulikia hakawii kukusema kama hukutoa dozi ya uhakika!!
You are one in a million and my wifi must be very luck to have you!
I salute you kaka.
Joke: Ila hii nayo ni sifa ati unayoitoa tutaanza kukunyatia ili tumpindue huyo lucky lady ohoooo!!🙄
Ha ha ha MOne. Niko kwenye ndoa kwa muda mrefu sana. Si rahisi kunipata tena. Pengine ingekuwa rahisi kunipata wakati ule kukiwa na STDs tu si wakati wa Ukimwi huuu. Wanaume wengi tunakuwa loose ndiyo maana tunapata muda wa kunatia malaya. Jiweke busy. Amini sana hivi niko hapa ofisini, baada ya muda natoka namfuata my wife twende home!! sana sana nitapita kukata kiu kama atahitaji, unajua ukiwa mmekaa mahali hata kwa nusu saa tu nje ya mazingira ya nyumbani na mkeo it brings a huge difference in your relation. Nilipooa those years ago, nilifunga encyclopedia zote za girlfriends, after all sikuwa nao wengi, and one at a time kama tukishindwana sera. Sera yangu kuu sikuwa nataka mapepe. I wanted a mother to my children and we are happy, with our four grown up children, except one ataingia chuo this year. Halafu kama baba as a kichwa cha nyumba umetulia na mkeo atatulia tu unless kama takuwa umeoa mradi kuoa ndipo shida inaanza, mnanza kupayuka siri za ndani nje.