MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Habari hii imenifanya nijiulize kama wanaume nao huwa wanazo tabia kama hizi, hivi huwa wanatusema kwa marafiki zao? Au wao mazungumzo yao ni tofauti?
Nani kasema, hiyo ipo kwa teens wakati wa balehe tu
Hii ni kwa wanawake tu.
Ukiona mwanaume anaongelea ujue ni kimada chake amekula mzigo kwa hiyo anawasimulia jamaa zake lakini wife never.
Asilimia ya wengi wa akina mama huwa si wasiri kwa mambo mengi, labda siri yake kubwa ni kama anamegwa nje hivyo hatasubutu kusema, naamini.
Tofauti kati ya wanawake wengi au baadhi na wanaume ni kwamba mwanamke ataenda mbali zaidi ktk kuelezea mambo ya chumbani ilhali mwanaume mara nyingi ataishia kusema pale nimemega. Big difference
Mambo ya ndani ni aibu kuyasema. Halafu ukitaka kumjua mwanamke mchongimchongi mbona easy!!!! Utaona tu katika relation, anakuletealetea umbeya wa huko saloon na kwingineko. We muulize tu, unayajuaje haya kama wewe huchangiii??? Asilimia ya wengi wa akina mama huwa si wasiri kwa mambo mengi, labda siri yake kubwa ni kama anamegwa nje hivyo hatasubutu kusema, naamini.
Mimi bwana siri yangu ni yangu hata kwa mke si rahisi aipate hii unless siri hiyo kama itakuwa na mafanikio kwake, halafu siwezi eleza njemba mambo yangu ya ndani na mke wangu wala kimada kama angekuwepo.
Ila nimeona wanaume wengi huwa tunafanya makosa sana unapopata hawara wengine wanatafuta cheap way ya kueleza udhaifu wa mke wake ila hawara amkubali. Hii ni mbaya sana. Ukipata farasi lako, panda na mchezo unakwisha, hakuna fungua mdomo wa mambo yako ya private man.
hehehe mkuu kuna jamaa mm kitaa anajichukulia ujiko wa kumega wanawake wanamsifia ni fundi sana kwa hiyo akimega anaenda kumsimulia mwenzie nae anajipendekeza jamaa ana mega dah yaani aibu kitaa kizima jamaa kamaliza.
Hii ni kutokana na wanawake wenyewe kumsifia jamaa anayajua sana.
Aksante Fidel huu ni ushahidi tosha kuwa wanawake tunapofanya hivyo si kwamba tunawajengea sifa wanaume zetu bali tunawaweka midomoni mwa mamba.
ila kwa vimada wenu huwa mnatusema maana ukiguswa kunako hukawii kuanza kuimba kama kasuku mara oh mie kule sifanyiwagi hivi au oh jana mwenzio kaninyima na wewe leo utanipa n.k au hiyo is not harmful?
ila kwa vimada wenu huwa mnatusema maana ukiguswa kunako hukawii kuanza kuimba kama kasuku mara oh mie kule sifanyiwagi hivi au oh jana mwenzio kaninyima na wewe leo utanipa n.k au hiyo is not harmful?
Ni kweli hii tania wnayo sana akina mama au dada zetu. Na wanaenda mbalia san mpaka wanatja style na mapungufu ay mauwezo ya waume zao. Hii ni hatari sana sana. Nimeona hta maofisini akina mama wanaelezana huo ujinga. Ni DHAMBI SANA KUEELEZEA MAMBO YA NDOA NJE
Mkuu MOne hata kama utakuna pale pasipokunika na mke wangu, hutapata undani wa my wife. Cha msingi tu, kama unajua majamboz nitakusifia tu kama kawaida but not at the expense of undressing my wife. Anyway, I hate kumega. After all niko busy sana na mambo mengi, so time ya kunatia cuncubines sina.
Wengine wanasimulia hadi alikojoa mara ngapi wakati wanafanyana.....mademu bana
Ni kweli hii tania wnayo sana akina mama au dada zetu. Na wanaenda mbalia san mpaka wanatja style na mapungufu ay mauwezo ya waume zao. Hii ni hatari sana sana. Nimeona hta maofisini akina mama wanaelezana huo ujinga. Ni DHAMBI SANA KUEELEZEA MAMBO YA NDOA NJE