Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,321
Hakuna mijitu mijinga kama mi AFRIKA..yaani yamekaa humu kubishania ujinga wa waarabu na wazungu..hayo mavitabu yenyewe mmeletewa na hao mazeruzeru..hakuna mwenye kujua zaidi ya kuongopeana tu kwenye vibanda munavyoviita vya ibada..ptuuuu..UTUMWA WA FIKRA NI MBAYA SANA..
Meaning of Kaafir:
The word Kaafir (or Kafir) is derived from the root verb kafara, which means to deny God, conceal, reject or disbelieve. Therefore, a Kaafir is one who disbelieves, rejects or denies.
Evidence:
Allah of Islam said: There is no God but Allah, and Muhammad is the messenger of Allah. In A-rabic: La Illaha Il Allah Muhammad Ur Rasool Allah
As we can see, Allah of Islam is denying the existence of God.
JF, tell me who is a Kafir here? Allah and Muhammadans who say THERE IS NO GOD, or Christians who say there is GOD?
Yupo....Mungu ni zaidi ya Yesu. Yesu ni binaadam kama mimi na wewe na amezaliwa na anakula vyakula kama sisi, ila tofauti yeye ni mjumbe wa mungu sio Mungu.
Mkuu mbona unashindwa kufahamu mambo madogo kama haya hebu soma uislam uuelewe vizuri,sidhani kama utarudi na maneno yako haya yakukufuru.
In fact, Rasool is Allah incarnate!!
Muhammad Allah's first creation, only Muhammad understands Allah, both like perfumes, likes please Muhammad, Muhammad & Allah's tongue same, must believed in both Muhammad & Allah, must love both, Allah discusses private matters with Muhammad, Allah's only friend is Muhammad, annoy Muhammad annoy Allah.
Muhammad's tongue is Allah's tongue
This must be the greatest of all ahadith we ever read. This hadith will surely convince the readers that Muhammad was Allah.
Allah decrees what He wishes by the tongue of Muhammad… (Sunaan Abu Dawud, 3.41.5112)
- Sunaan Abu Dawud, Vol. 3. Hadith Number 5112
Abu Musa reported the Apostle of Allah (may peace be upon him) as saying: Make intercession to me, you will be rewarded, for Allah decrees what He wishes by the tongue of His Prophet.
Sunaan Abu Dawud, Vol. 3. Hadith Number 5112
Abu Musa reported the Apostle of Allah (may peace be upon him) as saying: Make intercession to me, you will be rewarded, for Allah decrees what He wishes by the tongue of His Prophet.
Now we know, Muhammad is Allah.
If we take Islamic shahada context seriously , then both Allah and his Rasool are Kafir
Kanisa sio jengo (structures of any sort) kama inavyojenga masjid kila kona ya barabara. Ukiristo sio majengo ni imani thabiti kwenye mioyo ya waumini.
So then, about eating food sacrificed to idols: We know that "An idol is nothing at all in the world" and that "There is no God but one." 1 Corinthians 8:4that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.John 17:3
Here is the shahada:"I bear witness that there is no god except Allah"And I bear witness that Muhammad is the messenger of Allah.Shahada | Islamic Learning Materials
Please show/give the context which connotes "Kafir" thing you are talking about.
By MaxShimba
Meaning of "Kaafir":
The word Kaafir (or Kafir) is derived from the root verb "kafara", which means to deny God, conceal, reject or disbelieve. Therefore, a Kaafir is one who disbelieves, rejects or denies.
Evidence:
Allah of Islam said: There is no God but Allah, and Muhammad is the messenger of Allah. In A-rabic: La Illaha Il Allah Muhammad Ur Rasool Allah
As we can see, Allah of Islam is denying the existence of God.
JF, tell me who is a Kafir here? Allah and Muhammadans who say THERE IS NO GOD, or Christians who say there is GOD?
Je Yesu alisema ujenge kanisa au ujenge imani? Na imani kuu ni ipi? Obey God and Prosper link Deuteronomy 6
Unajichanganya Max, Unasema Yesu Kristo ni Mungu sasa Mungu huyo hakuwepo 1400BC?Hivi unafahamu Deuteronomy iliandikwa lini wewe muhammadan? Hivi Yesu alikuwepo 1400 BC? Huwa mnatumia nini kufikiria? Hivi Allah kweli yupo hai? Maana umeonyesha mashudu tupu hapa.
Pathetic muhammadan
Is the Bible Kaafir? You may wish to read this: There is no God but one. 1 Corinthians 8:4You are Kaafir.
Yaani Waafrika wote ni wajinga kwa kuwa kwa akili yako isiyokuwa ya Kiafrika, Waafrika wamegawanyika mafungu mawili tu, wale wanaofuata Ukristo wa Wazungu na wale wa Uislam wa Waarabu. Nikukupa sifa zako nitakula ban... wewe ni GT wa ukweli
Hakuna mijitu mijinga kama mi AFRIKA..yaani yamekaa humu kubishania ujinga wa waarabu na wazungu..hayo mavitabu yenyewe mmeletewa na hao mazeruzeru..hakuna mwenye kujua zaidi ya kuongopeana tu kwenye vibanda munavyoviita vya ibada..ptuuuu..UTUMWA WA FIKRA NI MBAYA SANA..
duh watu wanapeana dozi kubwa kubwa tuu humu ....well, usiwaite wengine wajinga wakati wewe unaandika uischokijua:Ukristu hakuna wa wazungu na wengine, na ukristu haukuwahi kuwa wa wazungu...ila wazungu walikuza dini nyingi tuu..na si dini tuu ,kil autamaduni ulioingia kwa wazungu wakaupenda waliuuza.
-Ukristu ulianzishwa na wayahaudi na Mitume wote wote alikuwa wayahudi:ILa ulipata mlipuko mkubwa baada ya wagiriki(wayunani) wasomi walipouchukua na kutumia kaili zao kuuendeleza, na Ulipata nguvu za dolar..mfalame wa Super power ya wakati ule Rome alipoukubali Ukristu.Na hivyo Ukristu ukawa na Nguvu ya Dola na Nguvu ya wasomi wa juu kabisa ktk karne ile.
-Uislma nao haukuwa n aushawishi wa kisomi hadi pale waturuki walipouchukua na kuuingiza ulaya na kuchukua sehumu shemu ambazo tayrai Ukristu ulikuwa umeshika mizizi, kuanzia uturukia penyewe, syria, lebanon, Mistri, uarabu na Bagdad, hadi ulaya mashriki na urusi,Irani hadi upande wa Asia ,abra hindi.
Unachokiona leo ni kwamba wakristu walipunguzwa sana nguvu mashariki ya kati na wayahudi na waislam, ila magharibi ,ulay ana baadaye Marekani walishasitawi kwa dini n ahivyo wakwa ndio walioshikilia ukristu wakiw ana elimu bora, pamoja na nguvu z akijeshi na ifedha.Waraabu wakaparangana na uislam pamoja n mataifa yaliyokwisha uchukua, hadi mafanikio ya mafuta kuja ,hadi leo uislam umebaki mikononi mwa waarabu, kidogo na wairan ambao pia Uturuki anashindana nao ktk nguvu ya kielimu na kijeshi.
Is the Bible Kaafir? You may wish to read this: There is no God but one." 1 Corinthians 8:4
link 1 Corinthians 8:4 NIV - So then, about eating food sacrificed - Bible Gateway
Unajichanganya Max, Unasema Yesu Kristo ni Mungu sasa Mungu huyo hakuwepo 1400BC?
Kuna Miungu mingapi?
Mungu aliyekuwepo hiyo 1400 BC ni yupi?
Hata kama Yesu hakuwepo, alipozaliwa na kupewa ujumbe wa Mungu alisema hivi:
Do not think that I have come to abolish the Law or the Prophets; I have not come to abolish them but to fulfill them.Matthew 5:17
Pia alisema hivi: "Why ask me about what is good?" Jesus replied. "There is only One who is good. But to answer your question--if you want to receive eternal life, keep the commandments." Matthew 19:17
Natumai haya niliyoyaandika yatakusaidia kufikiri na kukuwezesha kujibu maswali niliyokuuliza katika post hii.
Teyari umeshika miwaya weye.
Sasa nategemea unaelewa kuwa Yesu aliishi kabla ya kuja duniani, unaona jinsi ilivyo rahisi kuwashika pabaya nyie wafuasi wa Mpinga Mungu?
Hivi unafahamu kwanini Koran, Allah and Muhammad wameshindwa kutupa tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam?
Hakuna wa kushindana na YESU.