Siri za Lowassa zavuja Dodoma na Arusha


we dada acha umbea. source ya taarifa yako ni nini, tutaamini vipi juu ya hayo uyasemayo, kubwa kuliko yote yatatusaidia nini sisi ili hali hiyo ni mikakati ambayo mtu yoyote anaweza kuwa nayo pindi anapohitaji kufikia malengo yake flani.

nipm namba yako nikurushie m pesa maana unaeonesha una njaa sana na kwa kua huna kazi ya kufanya, ukilala na kuamka unamuwaza EL mbona huandiki mikakati ya ndugu zako tena unaowafaham kwa ukaribu badala yake unajaribu kuotea mikakati ya EL.

huna jeuli hata kidogo ya kumharibia wala kumfanikisha EL, Tulia fanya mishe zako upate tonge sio umbea unaoletq hapa kila siku.
 
Lowassa kiboko yao ndio maana kila siku wanamuota ijapokuwa waliotangaza nia wako kibao
 
Mtashindana lakini hamtashinda yeyeyote atokae ccm hakuna alie msafi.
 
Kwa hivi sasa kila mtu mawazo yake kwenda ikulu kuna nini ikulu
 

njaa mbaya sana,maskini huyu kijana mleta thread kuna watu wamamtumia,mashamba yapo mengi si mkalime kuliko kushabikia wanaume wenzenu
 


Nakushauri utafute kazi nyingine yakufanya

you are just a smaller dog for that fight


Jipange hakuna aliyeuza fitina akafanikiwa kimaisha.
 
Ni kweli humu JF, ZITTO analindwa kwa nguvu kubwa.. Ukimkomalia unapigwa BAN.
Team joka la mdimu kazi mnayo kwa kumhubiri Lowasa kila siku,cha kushangaza mods wa jf hawazivuti au kuziunganisha threads za Lowasa kama wanavyofanya kwa Zitto Kabwe!!!!!
 

siri huwa hazivuji ukiona umeipata juani habar ya kawaida tu
 
Mkija kugundua kuwa vikao mnavyonasa taarifa zake ni feki itakuwa too late...
 
Team joka la mdimu kazi mnayo kwa kumhubiri Lowasa kila siku,cha kushangaza mods wa jf hawazivuti au kuziunganisha threads za Lowasa kama wanavyofanya kwa Zitto Kabwe!!!!!

Tumechoka na hilo linyonya damu la uchumi wa tTanzania
 
Kama swala dogo la kauli mbiu linamshinda nakuanza kupuka uongo huyu hatufai jaman na anaonyesha nijinsi gan amefilisika mawazo na kuweweseka.
 
Team joka la mdimu kazi mnayo kwa kumhubiri Lowasa kila siku,cha kushangaza mods wa jf hawazivuti au kuziunganisha threads za Lowasa kama wanavyofanya kwa Zitto Kabwe!!!!!

wasicho elewa hawa vijana wa BM ni kuwa kila wanapotaja jona la EL,ndio wanazidi kumjengea jina.hatimaye hata wale wasio kuwa na mda naye,wata draw attention kutaka kumuelewa zaidi.
 
Wazalendo wote mlioko kwenye kambi ya lowasa nawapongeza sana kwa kutoa siri na mipango mbalmbali miovu ya el kwa maslahi ya taifa.kaz nzur
 
kama ni mbinu tu ya kumjengea mgombea uraisi "publicity stunt",basi team lowassa wamefanikiwa.hakika kwa sasa EL ndio habari ya mjini.kila mtu anamtaja.well done team lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…