Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
Kuna reality TV show kama "danger tv" au " A & E.
Kila siku polisi wanakomaa nao kwenye suala la uuzaji wa madawa ya kulevya,kupigana risasi wao kwa wao kwenye usaliti gangsters,mtu hadi utumbo unatoka ila hataji adui wake kwa polisi hata kama anakufa wanasema kusema ni snitching ,mtu anakutoa roho na unakufa ila kumtaja ni snitching ,maisha gani kulindana hivo?
Gangs za marekani ndo zilivyo hakuna kusalitiana.Adui yako anakutoa utumbo polisi akija unakana humjui.
Kwanini wanafanya hivo?