Siri za Bumbuli Development Corporation (BDC)

bwanaharusi

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
47
Reaction score
18
Hivi kuna mtu anajua kwa nini huu mtandao wa BUMBULI imekaa kichogi chogi?

Mbona haina maelezo ya shughuli zao, wanafanaya nini na washafanya nini? Picha za uthibitisho na miradi yao na watu gani wanashirikiana nao na pesa zao wanapata wapi.


Kuna siri gani ndani ya hii BDC?

Kama huamini ingia humu kama utapata kitu.


Bumbuli Development Corporation... Coming Soon!

Hivi kweli inawezekana kuwa huu mwaka wa 3 hii kitu iko coming soon? Kwlei jamani? January unataka kutuambia nini hapa?

January hebu kuwa muwazi kidogo kwenye hili la Bumbuli
 

Maandalizi na source ya kupata hela za kugombea nafasi za siasa!!! URAIS ukiwemo!!!! Wafadhili mpo!!!! Tuone, yetu macho!!
 
Haka kakijana makamba kajanja janja sana, kana tumia mtandao vizuri kutoa maneno matamu lakini sioni chochote
 
Wabongo bana tabu tupu...................Yaani kila kitu ni kulia lia tu na milawama ya kipuuzi
 
Ukitaka kujua wanafanya nini nenda kwenye ofisi zao jengo la Nasako ama water front ndiko ofice zilipo na sio Bumbuli. Pia kuna rumours wanataka kununua kiwanda cha kusindika tomato na maji kilichopo maeneo ya soni huko lushoto. Majority shareholder makamba family.
 

Tembelea tovuti yao http://bumbuli.or.tz nadhani utapata majibu.
 
Chakujiuliza ni kwa nini mradi ni wa Bumbuli lakini ofisi ipo dar?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ukabila na mitandao..Muhongo hatoki pale watatoka wao,ukweli hautajificha kamwe,Tanga line imekula kwao kama walishajenga mtandao kupitia dhaifu Mhando....maana anawaogopa sana wabunge akawa anaitikia tu wanachotaka wabunge,wameneemeka sana kipindi chake...mwisho umefika.Kiboko yao ni Dr Idrisa alikuwa anawajibu hovyo wakimletea ujinga wao wa kumtishia awape favor fulani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…