Siri kubwa ya kumaliza tofauti ni moja tu.
Kupuuza vikwazo/changamoto zote
Palipo na binadamu zaidi ya mmoja:-
-Tofauti hazikosekani
- changamoto hazikosekani
Ukiweza
1. Kupuuza
2. Kujishusha
Siku zote kwako usalama wakutosha, amani na utulivu.
Sababu kubwa ya kupambana, kuhitilafiana ni kushindwa kujishusha na kuachilia mbali
-Kujiona bora zaidi ya mwenzako
-Tunajimwambafai ilikuwa juu ya mwenzi
-Viburi vya kibabe .... (hanitishi mimi)
Vyovyote iwavyo hasira ni hasara, jeuri ni hasara hatima yake kuparaganyika
Jambo dogo sana liaweza kuvunja ndoa au urafiki ilihali ufumbuzi ilikuwa nikupuuza tu....kufrahi nakuonesha hakuna tatizo. Maisha yanasonga.
tusiweke mafundo/hasira/vinyongo moyoni
akikukosea mwenzako ujuwe fika ipo siku nawewe utamkosea. Wote tunakosea hivyo ....kuvumilia ndio soluhisho ...ilikudumu.
hakuna mmalaika yeyote utakaye Mwendea anamapungufu yake, nawewe unamapungufu yako.