PROPAGANDA YA UWEPO WA WAGENI, NI MFU NI VYOMBO VYETU NDIYO HAO "WAGENI' AMBAO HATA SAMIA ALIDAI WAPO NCHINI
Katika ulimwengu wa vyombo vya usalama, kujitungia lugha isiyoeleweka na wenyeji siyo jambo geni.
Lakini ni jambo geni hasa pale vyombo vinapotumika kuuwa raia wake ndani ya mipaka ya taifa lao kama ilivyotokea kati ya tarehe 29 Oktoba 2025 na tarehe 02 November 2025 nchini Tanzania
Historia inaonesha wakati wa vita kuu ya dunia World War II taifa la Marekani ilipokuwa inapigana na taifa la Japan, wajapani walikuwa wamejitayarisha kuimanya lugha ya kiEnglish almaarufu Kiingereza. Hivyo operesheni zote za Marekani wajapani walikuwa na uwezo wa kusikiliza na kutumia advantage hiyo kupambana na Jeshi la Marekani
Hivyo kuzuia turufu ya Wajapani kufahamu operesheni za wamarekani, jeshi la Marekani liliamua kutumia lugha ya jamii ya wahindi wekundu wa Marekani katika mawasiliano ili kuzima turufu waliokuwa nayo Wajapani kuelewa operesheni za Jeshi la Marekani.
Kabila hilo dogo la nchini Marekani iliwapa usiri mawasiliano na pia operesheni zao kutofahamika.
Kabila hilo ndani ya Marekani likipatikana Navajo na ndani ya jeshi la Marekani walikuwapo wanajeshi wao waliokuwa wanazungumza lugha hiyo isiyo fahamika kwa Wajapani. Lugha hiyo ilipewa jina Navajo Code Talkers
Sasa turudi nchini Tanzania madai ya kuwepo wageni wanaopiga risasi wageni au wageni kukamatwa ni propaganda za vyombo vya usalama vya Tanzania.
Ambapo vyombo hivi vya usalama walitunga lugha yao ya siri ya kioperesheni ambayo raia wa makabila 120 yaliyopo Tanzania hata yale makabila ya mpakani hawajawahi kuisikia lugha hivyo ya kutunga ya vyombo vya usalama vikiwa vinatekeleza mauaji kwa kutumia maneno yasiyofahamika na waTanzania lakini yanayo toa ufahamu vyombo kushambulia, kukimbia, kurudi nyuma, kuondoka n.k