Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mm enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari... Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa...sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution... Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Kwa wanao sikiliza E-fm watashangaa sana tena ukisema ina matangazo ya kuokoteza.Mange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mm enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari... Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa...sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution... Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Nielekeze yuko wapi jamaa,tunakodisha space ya minara aweke antenna zake kwenye baadhi ya mikoa.Minara inayo backup generators,ACs,UlinziKwa wanao sikiliza E-fm watashangaa sana tena ukisema ina matangazo ya kuokoteza....
Jamani tuache chuki zisizo na tija E-FM kwa sasa ina sikika Dar tuu lakini ni moja ya radio yenye matangazo mengi sana....kuwa mkweli... hawa jamaa wana jitangaza sana tena sana hasa Dares-salaam... wamejitangaza na wanasikilizwa sana tena sana...
Mwaka huuu anapata frequence nyingine zaidi ya tisa tanzania.... tuache chuki lakini kama tuna ushahidi mtu ana uza unga tuweke hadharani sio kuweka visingizio kwakuwa kaanzisha radio basi anauza unga....vijana kama kuuza unga na kufanikiwa ni rahisi kiasi hiki kwanini vijana bado mnalilia tuu? uzeni na nyinyi tuone kama mtahimili haya mnayoyasema...
Kwa wanao sikiliza E-fm watashangaa sana tena ukisema ina matangazo ya kuokoteza....