Siri ya umaarufu na ushindi wa Lowassa

Siri ya umaarufu na ushindi wa Lowassa

Lowasa hazuiliki. Mbinu za CCM zinakuwa chafu na watu watampigia kura Lowasa kwa kukataa uchafu wa CCM. Leo tukiangalia katika maneno yetu ni maneno yapi yametamkwa sana kati ya Magufuli na Lowasa. Hii ni advert kubwa kwa Lowasa.
Kesho Magazeti yote yatakuwa na neno Lowasa.

Popularity and sympathy zitampa ushindi Lowassa. Wapo watu hawawezi kutoka CCM kimwili but kimawazo wapo UKAWA. Kura zao kwa Lowassa.
 
Yaani hili jina la LOWASSA kwa wengine likisikika ni kama wamesikia simba mioyo yao inafanya paaaa. Mabadiliko muhimu hata mkituambia haongei huyo huyo tunamtaka.
 
Dr. Hakuwa na jipya kama ni richmond tunaifahamu kwa miaka 8. Kura yangu ni kwa LOWASSA na UKAWA mwanzo mpaka mwisho. Asituletee ujinga yeye ndiye alimpokea Eddo na kumpeleka kwa Mbowe cjui wakti anampeleka kwa mbowe hakujua yote hayo.
 
Kweli kabisa,Wenye akili "mlegezo" hawawezi kuelewa huu uzi. Big up mkuu
 
Anatembea mwenyewe, hatukani mtu... kawaacha wabunge wa chadema wote wako majimboni yee anapiga kazi tuuu na umati anaopata unapelekea jasho liwatoke hukoooo
lowasa kanifundisha jambo kubwa sana katika maisha.
 
Back
Top Bottom