tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Ushindi wa Kisiasa hujengwa na Umaarufu (Popularity). Umaarufu (Popularity) hujengwa kwa namna mbili:-
1. Famous:- Umaarufu kwa mema.
2. Notorious:- Umaarufu kwa mabaya.
Kitendo cha kurudia rudia (au kwa mema au kwa mabaya) kulitamka jina la mtu au kitu humfanya mtu huyo kujijengea umaarufu kwenye jamii.
Umaarufu kwa namna zote mbili humuwezesha mwanasiasa yeyote duniani kushinda kisiasa katika Uchaguzi wowote. Mfano Rais Kenyatta na Rais Zuma.
Mwisho, iwapo mwanasiasa akitamkwa tamkwa sana kwa mabaya (notorious) na akawa na umaarufu kwa namna hiyo, na likawepo kundi jingine linalofanya yale yale ambayo mwanasiasa huyo anatamkwa nayo, na mwanasiasa huyo akawa kimya basi jamii humuonea huruma (sympathy) na kumpa kura kama comfort (faraja) ya kumpigania.
AKILI KUBWA TU ITANIELEWA.