Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,675
Jaribu kujichunguza kwa kina kisha jiulize kwani mimi ni nani na natoka wapi na naelekea wapi nje ya mahitaji yangu ya msingi kama kula, kuvaa, makazi, familia,saikolojia, ulinzi, kutambuliwa n.k binafsi mission yangu hapa duniani ni nini haswa?
Ni swali ambalo hakuna binadamu mwenye jibu sahihi, cha zaidi tutakushauri hurudi ukacheze na akili yako mwenyewe yaani ufanye meditation napo hakika utatoka kapa.
Tuachane na hilo swali gumu kwanza awali ya yote kabla ya kupata jibu la swali gumu zaidi unapaswa kuli-digest kwanza kwa kujiuliza jambo gumu katika wepesi kiasi, kwani siye binadamu akili zetu zinawezaje kufanya kazi kiasi cha kushindwa kuzielewa wenyewe?
Leo hii mtu anaweza ota au kupata maono ya vitu ambavyo havielezeki wala hakuwahi kuvifikiria wala kuviona, je hili linawezekanaje?
Unatazama kila alichokitengeneza binadamu juu ya uso wa ardhi unaishia kustaajabu, je akili ya binadamu ina uwezo mkubwa kiasi gani?
Unamwangalia binadamu mwenzako anavyojenga hoja zenye mashiko na wakati mwingine anaelezea mpaka anafungua mafaili mengine ambayo ukija kumuuliza baadae alijua vipi anakuambia hata mie sijui nilijikuta tu naflow,
Je, ubongo wa binadamu ukiachana na ukubwa wa gigabytes ilizosheheni za ufahamu, je akili yako chanzo chake ni nini?
Nilichobaini ni kuwa ubongo wetu unafanya kazi katika mfumo wa unasaji mawimbi ya mitetemo (frequency) katika hali ya usumaku sumaku (ambao ni asili ya nguvu za mvutano tulizonazo katika ulimwengu wetu) na penye sumaku kuna nguvu ya umeme na penye umeme kuna nishati,
hivyo ubongo ni kama mashine kubwa inayotetema muda wote kuchakata fahamu tunazotumia katika hali rahisi ya picha na tafsiri.
Binadamu ni FIKRA zake na kuzitumia fikra zake ndo umfanya awe ni binadamu na AKILI alizonazo si zakwake yeye peke yake bali anashare pia na kumbukumbu za binadamu wote ila access itategemea na wepesi wa kunasa hizo frequency kirahisi kama redio au visimbuzi zaidi ya wengine,
(wepesi huo wa akili kuwa active ndiyo tunaoutafuta kupitia kujielimisha kupitia njia mbalimbali za kujinoa kiufahamu kama binadamu iwe ni mashuleni, kiroho au kimazingira)
Kwa lugha rahisi kadri tunavyowaza na kuwazua, kujifunza, ku-imagine, iwe ni hata kutengeneza chochote kile accidentally,kuamini n.k
Ubongo wetu urekodi kila kitu na kutupia material mtandaoni somewhere accessible tu all of us like today internet ambayo naamini wagunduzi wake pia wametumia mfumo wa bongo zetu zinavyofanya kazi katika kuunda kitu kama hiki.
(ndiyo maana kuna wadukuzi wa mawazo yetu na wanaweza kutuambia tunachowaza, kilichowahi kutokea na maisha yetu yajayo n.k)
Sasa hili utumie maarifa haya yaliyokusanywa chungu nzima na kila binadamu (pengine na wanyama,wadudu, mawe au mimea pia) unapaswa kwanza u-click search (fikra au mawazo yako uyaelekeze unachotaka) na hapo ubongo utakusogezea kwenye sahani unachokitafuta.
(ila kumbuka hili ubongo u-search vyema lazima uwe ume-treiniwa vya kutosha kupitia (frequency ziwe nyepesi kunasa) kukaririshwa topic itajika au kukumbushwa vingi na vingi zaidi vitakuijia na hili ndilo zoezi unalofanya maisha yako yote kama msomi au mwerevu)
Kwa lugha nyingine binadamu utumia kumbukumbu za akili yake mwenyewe (ziwe zilizofikiriwa na kushuhudiwa na wengine zamani za kale au sasa au kumbukumbu za kwake alizojiundia mwenyewe)
Hivyo basi binadamu wote kwa ujumla wake wana-share internet moja kubwa sana ya fahamu zao kwa pamoja hivyo pale unapozidi kuchimba deep utashangaa kukutana na vitu usivyovitarajia kama vina-exist nje ya upeo wetu tulionao,
lakini kumbuka wherever na whichever unachoview, unachofikiria au kukijua au kukivumbua kwa asilimia 90 ni vitu recorded tiyari katika kumbukumbu za human history data ndiyo maana wajuzi wa mambo wanakwambia hakuna jipya chini ya jua.
Hivyo basi binadamu wakiwemo na viumbe wengine huishi katika mfumo wa BT na Wi-fi zao kuwa wazi muda wote hii upelekea mfumo wa akili kuwa complex na very complicated muda wote yanatoka mawazo na kuingia mawazo yawe mazuri au mabaya yale yatakayokuwa selected au bolded ndo yatakayozingatiwa kwa muda husika.
Mfano mdogo ni pale kiumbe huyu anapojisahau kuwa yeye ni nani kwa muda mfupi yaani mara tu bando linapokata 'anapolala' yeye udhani kuwa programu zimefungwa lakini ukweli ni kuwa
bado zinaendelea kudisplay kwenye background na hapo ndipo zinakuwa na uwanja mpana (b'coz of non-selection na lack of imagination) zinaweza kugoogle hadi ambayo ukudhania yapo na yakadisplay randomly usijue lipi lilianza na likaishaje ilimradi ukiamka useme niliota,
But kwa namna hii akili ukifanya chombo chake kilichosizi kwa muda (sleeping mode) kiendelee kujikumbuka kisije kuzima mazima kupitia kumbukumbu zako mwenyewe au za wanadamu wengine (unfamiliar scenes na characters)
Hivyo hakuna genious, nabii wala mwanasayansi kila wanachokifanya asilimia kubwa ni recorded ila walichofanikiwa ni kuki-recycle upya kitumike tena na binadamu ndani ya muda husika na hivyo kinapoendelea
kutumika maboresho uendelea na kumbukumbu ubaki tena ikija kukumbukwa kwa bahati nzuri na yeyote in next generation itatumika tena kuanzia pale teknolojia yake kimawazo ilipokuwa imeishia.
Kwa namna hiyo itoshe kusema kuwa hata sasa tunavyovitumia(vitu,teknolojia n.k) ni kidogo tu kama ukucha juu ya vile ambavyo binadamu alikwisha vitumia kabla na bado katika kumbukumbu zetu atujaviriwaindi hili virudi tena.