Mbunge Luswe
Member
- Jan 23, 2018
- 56
- 23
Salaam Wana Jukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye Mada, pengine inaweza toa tafsiri tofauti na ninacho maanisha. Ni hivi,
Kuna Siri gani siku au tarehe ya mtu kuzaliwa na ilaaniwe. Soma Biblia kitabu cha Yeremia na Ayubu. Wote hawa walisema " Na ilaaniwe siku niliyozaliwa" naomba kujua Siri hii. Karibuni sasa.