mshana jrSasa nimeelewa alichomaanisha @mshanajr aliposema kuna siri kwenye picha tunazopiga. Na huja kubainika baadae...
Mshana njoo huku
View attachment 406706
View attachment 406707
Hii wala haihitaji akili kugundua kilichomo moyoni, iko wazi kabisa kuwa hapendi hicho kinchosemwa hapo. Kuna picha ambazo ni vigumu kubaini nia mbaya au nzuri kwa maana ya kutumia rangi za nguo, pozi, jinsi watu walivyojipanga n.k.Sasa nimeelewa alichomaanisha @mshanajr aliposema kuna siri kwenye picha tunazopiga. Na huja kubainika baadae...
Mshana njoo huku
View attachment 406706
View attachment 406707
Kumbe hawako pamoja kifikra muda mreefu,Sasa nimeelewa alichomaanisha @mshanajr aliposema kuna siri kwenye picha tunazopiga. Na huja kubainika baadae...
Mshana njoo huku
View attachment 406706
View attachment 406707