Sio 4*5, sema 2*5 kabsaaNdoa za wazaz wtu zilikuwa znaumu maana walikuwa wannalala vitanda vya 4*5 wakigombana usiku lazma wapatane lkn siku hiz wananndoa wanalala 6*6 au 5*6 usiku kila mtu na kona yake pale ugomv unapotokea .... Zero distance hakuna