Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
On light note!
Sitaki kutoa maelezo mengi nitajiingiza moja kwa moja kwa point, ukitaka kuwa mwanasiasa wa kuheshimika na kutambulika na ngazi za juu hapa Tz, lazima uzingatie kanuni zifuatazo, achana na ilani na makabrasha ya vitabuni, na wala kile kinachotuongoza ikiwa sheria na kanuni, katiba nk, hayo tuwaachie novice, unguli wa kisiasa uko hapa,
01. Kuwa mwenye matusi ya kati kwa wapinzani, yaani uwe mtu wa vijembe, usitoe
matusi ya nguoni kiivyo, ayo tuwaachie ule upande wa pili..
02. Kuwa mbea, that's right yaani uwe unapeleka unoko kwa wakubwa unategemea unoko wa ngazi ipi, lakni kama unataka umaarufu wa haraka basi, nakushauri usipitie ngazi za chini kama mikoa, wizara nk, wewe moja kwa moja wasilisha umbea, udaku na chengine chochote utakachoona kitamfurahisha aliye juu ya mountain top, unoko lazima upangike vizuri, ujue kuungoea, na Inategemea na mood ya mkubwa wako, na kile anachokiongolea sana, yaani kinachopenda nafsi.
03. Ktk unoko wako jenga hoja ya kiuchumi na iye kama ushawishi wa kuwapenda wananchi, lkn usijisahu kwamba hapa ni maslahi yako binafsi, scenario ni nyingi lkn huu ni mfano tu,
mathalani, kwanza ukiwasilisha huu udaku uwe na nidhamu ya hali ya juu, unaweza kuanza na maombi, na kumwagia sifa mkubwa wako, jaribu kumsoma misemo yake halafu unaichomekea ktk maombi, yaani iweke iwe more devine, zile teststarone na hormone nyengine zinazoambatana na furaha zitapamba, hapa lazima uzingatie huyu mkubwa wako yuko very stressful lazima umpatie emotional councilling ili urushe umbea na uzushi wako kisataili, sasa hapa nawatolea
Mfano cha kusema ukizingatia hayo niliyoyataja, baada ya maombi "unasikia Mh. Mkubwa nimesoma maelekezo yako kuhusiana na ubadhirifu wa mali ya umma na rushwa iliyotapakaa ktk ngazi za halmashauri, na siku fulani, sehemu fulani, ulihimiza yafuatayo, sasa kuna huyu mkubwa fulani ktk kitengo
fulani, alifanya mkataba huu, na sign zake hizi hapa na vielelezo vyengine hivi hapa Mh Mkubwa, ktk huu mkataba, nchi imepoteza billioni 25.7345 kwa kipindi cha miaka
Miwili so far, Na huu mkataba una miaka mitano" hapa unapozi kidogo unamuacha Mh Mkubwa anavuta pumzi, atakuuliza maswali mawili matatu, jiandae na majibu ya kuzidi kufitinisha, ukiambatanisha figure za kutunga tunga na kutoa vipengele vya sheria na kanuni ili ushinde udaku wako, hapo atapanda hasira, unampa nafasi, baadae atakurudia kwa suggestion, na wewe utakata uzi, ni kumtumbua tu, Mh Mkuu, halafu hapo unamgusia, unajua Mh Mkuu mimi si mkubwa kivile na hili swala pia Mkubwa wa idara fulani alitakiwa pia aliongelee lkn naona hakuna ufuatiliaji, hapa unaanza kuweka udaku mwengine na kumtoa
Imani kwa wengine iwe kwako, kwa hio unamkuza tena, sasa Mh Mkuu wewe ukija kwenye sehemu yangu ya kazi, wewe Mkuu mtumbue tu, mimi nitajitahidi kuhakikisha media wanalirusha hewani, na ile idara nitaipelekea hii ripoti, unamalizia na maombi unaangalia udaku mwengine.
03. Kuwa mnafiki, kubali kumsaliti hata baba yako kwa kuzingatia unamfurahisha huyo unayemfurahisha.
04. Jipendekeze sana na Mungu, na kujifunza kuongea kwa ubeti, uvutie watu wasiojielewa basi utapata ufuasi wa hapa na pale, na wewe utakua na full support toka kwa Mkubwa wako wa kazi, maisha yanaendelea, huku ukiwacha vumbi Kama basi la Abood bus. Lol
05. Baada ya hapa, tumia nguvu yako, fanya unalotaka, ujambazi, uporaji wa mali za watu, nk, baraka ziwe juu yako.
Ukizingatia hayo, basi utafika mbali sana kisiasa tz, kumbuka usizingatie maswala ya sheria. Sheria na kanuni for novice na wale
chini ya uongozi wako, that Simple!