Siri ya kumpakata mwanamke.

Teh una ugomvi na wasukuma mkuu?

Nyani Ngabu
 
😀
 
Naomba niweke kitu sawa jamani hasa sisi tuliopo kwenye sekta ya elimu ya jamii , ili nchi hii iweze kupiga hatua na hadi kufikia uchumi wa viwanda na wa kati hatuwezi kulibeza au kuiacha sekta ya mahusiano ya kimapenzi kwani ndo msingi mkuu sana kwani familia ndo hutoa watu wa kulijenga taifa hivyo lazima sekta ya mahusiano itengewe bajeti na serikali katika kuhakikisha wananchi wanapata elimu ya kutosha ili kujenga familia bora kabisa ambazo zitakwenda kulijenga taifa letu hivyo ni lazima watu tusibeze watu wanaoleta nyuzi bora kuhusu mahusiano
 
Eti nasikia Rais wetu anapingana na suala zima za UZAZI WA MPANGO!!!!
 
Am so mad at myself to be done reading and now commenting on this post at this hour of the day!
 
Mmmmh! Yule wa kwangu anapakatika kweli? Labda nimuombe baunsa ampakate mimi nishike hicho kiuno.

Enhe, halafu tunasema maneno gani tena, maana hukuyasema maneno yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…