Siri ya kumpakata mwanamke.

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
4,408
Reaction score
6,642
Nimekuwa silencer nguli kwenye hili jukwaa pendwa la MMU. Ki ukweli nakiri ni mdau mkubwa katika jukwaa hili. Niende moja kwa moja kwenye mada

Wajuzi wa mapenzi wamekuwa wengi kwenye hiki kizazi cha nyoka. Kila mtu ana lake. Mimi nimekuja kushare nanyi siri niliyoigundua katika kumpakata mpenzi wangu.

Unapokuwa nyumbani hasa chumbani wewe na mpenzi wako pendelea kumpakata ili kupata wasaha wa kuongelea masuala mawili matatu yahusuyo mapenzi yenu. Nini kinamfurahisha, nini unakipenda kutoka kwake. Na nini unataka kumfanyia siku hiyo(kwenye 6 kwa 6).

Wakati mnazungumza yote hayo mikono yako hakikisha inapapasa kiuno, mgongoni, mapajani, shingoni na maeneo yote yanayoamsha hisia.

Hii ni mbinu ya kumfanya mpenzi wako awe relaxed na inawapa hisia za kwa pamoja. Fanya hivyo mara kwa mara hakika mahusuano yenu yataongezeka thamani.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…