Siri ya kinachoifanya nchi/Taifa kuwa super power?

Siri ya kinachoifanya nchi/Taifa kuwa super power?

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
555
Reaction score
661
What make a state or states superpower

Mahali ambapo macho ya Mungu yapo, hapo ndipo panatisha kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii

Angalia mifano ifuatayo:

1. Egypt ilipokuwa superpower enzi hizo ilifikia peak ya uimara wake pale Israel ilipokuwa inaishi huko. Tunakumbuka Yusuph mmoja wa watoto wa Yakobo(Israel) alikuwa waziri mkuu, na Egypt ikaheshimika dunia yote ya wakati huo.

2. Uingereza iliipiga karibu dunia nzima na ikatawala sbb ustaarabu wa maisha ya kumheshimu Mungu yalikuwa kwa kiwango cha juu. They were truly worshipping God of Israel.

3. Ujerumani ilikaribia kutawala dunia nzima katika wakati ambao Wana wa Israel walikuwa kwa idadi kubwa sana Germany, walibugi kuwaua na ikawa mwisho wao. Israelites walikuwa kwenye nafasi nyeti za nchi na kuufanya uchumi wa ujerumani kupaa

4. Nebchadnezer alitawala mashariki ya kati yote na uimara wake ulichangiwa na mateka wa Israel, kati yao vijana Daniel, Shedrack, Meshack, Abednego wakiwa washauri wa Mfalme. Mfalme hakuwa Mu-Israel alikufa akiheshimu Jina la Jehovah.
Mtoto wa Nebkadneza alikosea kunajisi vyombo vya madhabahuni na ikawa mwisho wa huu ufalme.
Persia(Irani ya sasa)waliendelea kuheshimu Taifa la Israel hasa tukimkumbuka Ester na Modekai.

5. Uamsho(Pentekost) umeanzia US, na mara ulipokolea hii nchi ikawa superpower. Dini ya Kikristo duniani ilikuwa inaendeshwa kitaasisi makao makuu yakiwa Italia/Vatcan: uamsho huko USA uka'revive mambo ya Mungu. Na sasa Israelites huko US wameshika nafasi nyeti kuanzia kwenye taasisi kubwa hadi ikulu.
Hofu kuu ni MOJA: kuanza kuitenga Israel kidiplomasia(hasa chama cha democrats) na PILI ni kukumbatia mambo yanayomchukiza Mungu, naomba nisiwe nabii kutamka kwamba haya mambo mawili yakiendelea USA iko ukingoni kudondoka kama super power.

6. Afrika kwa kasi inavyoenda kwa uamsho wa kumkubali Mungu, inaweza na bila shaka kuwa tishio kwa kuwa na uchumi mkubwa duniani. This is what make a state a super power. Ni pale macho ya Mungu yanapokuwa juu ya Taifa.
 
Samahani ufafanuzi hapo kwenye kukumbatia mambo yanayomchukiza Mungu nipe mifano ya hayo mambo mkuu...bandiko lako lina hoja nzito sio la kulidharau
 
Misri kingdom imetawala miaka 3000 BC na walikuwa na power na walikuwa hawamuamini MUNGU mmoja wa israeli....misri imekuwa na power kwa sababu ya mto nile....ovaaa
 
Hapo kwa wa british sijajua historia unayosemea wewe maana bora kwa miari tunajua early civilizition imeanzia kwao
 
Naona kama umeamua tu kuwapa promo wa israel...kweli nakubali ni vichwa ila sio kivile kiasi kwamba wenyewe ndo source ya maarifa wote wakati hapo hujawataja wajomba zako wa greece tokea anthens city
 
Samahani ufafanuzi hapo kwenye kukumbatia mambo yanayomchukiza Mungu nipe mifano ya hayo mambo mkuu...bandiko lako lina hoja nzito sio la kulidharau
Mfano LGBT rights, kuhalalisha utoaji mimba na yanayofanana na hayo
 
Misri kingdom imetawala miaka 3000 BC na walikuwa na power na walikuwa hawamuamini MUNGU mmoja wa israeli....misri imekuwa na power kwa sababu ya mto nile....ovaaa
Umesoma vizuri UZI!? Ni kama mnaongea lugha moja, labda mnatofautiana misimamo
 
Vipi kuhusi ottoman empire?Han dynasty na nyinginezo zilizowahi kutawala??

Halafu hapo kwenye kuhalalisha LGBt mbona israel ndo wako mbele sana kwa hilo
 
Huwezi kuwa super power(safu mwamba) duniani bila ya kuwa na nguvu za kijeshi za kuitawala israel. Ottoman tunamuweka kando kwa sababu ya uhuni wa kutumia ushirikina ulizidi sana katika nguvu zake. Africa haitawezekana kabisaa kuwa super power(safu mwamba) kwa sharti moja tuu nalo tumezidi sana kuabudu ushirikina maana africa hata kusaka mchumba mtu hukikanyagia! ,mungu katu hakupi usafu mwamba kama ushirikina ndo kitengo cha anasa kwako.
 
Vipi kuhusi ottoman empire?Han dynasty na nyinginezo zilizowahi kutawala??

Halafu hapo kwenye kuhalalisha LGBt mbona israel ndo wako mbele sana kwa hilo
Ukengeufu wa Israel upo planned na neema sasa iko juu ya mataifa
 
Huwezi kuwa super power(safu mwamba) duniani bila ya kuwa na nguvu za kijeshi za kuitawala israel. Ottoman tunamuweka kando kwa sababu ya uhuni wa kutumia ushirikina ulizidi sana katika nguvu zake. Africa haitawezekana kabisaa kuwa super power(safu mwamba) kwa sharti moja tuu nalo tumezidi sana kuabudu ushirikina maana africa hata kusaka mchumba mtu hukikanyagia! ,mungu katu hakupi usafu mwamba kama ushirikina ndo kitengo cha anasa kwako.
Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom