Sipati picha jinsi Kubenea atakavyosimama majukwaani kumnadi Lowasa
Umesoma habari nzima au umeishia tu kwenye heading.....!Sipati picha jinsi Kubenea atakavyosimama majukwaani kumnadi Lowasa
Kuna watu wenye macho lakini hawaoni na kuna wenye masikio lakini hasikii!Unazungumzia kukubalika JF au magazetini?