Siri ya Coca-Cola yafichuka


mkuu MM nakualika leo njoo na Coca yako hata nne ukitaka, kisha tupime wote mie na wewe Alcohol kama tutaikuta. najitolea kwa hilo...n about machine nina very sophisticated one which can detect even at 0.001 v/v alcohol.
i am sure there's no ALCOHOL
 
Duh!mashikoro mageni,mimi hayo yote nilikuwa siyajui!
 
Kwahiyo hapa mkuu unataka kutuakikishia kwamba hii ni vita ya biashara tu!
 
Mkuu umenichekesha sana,mbona umekwenda mbali sana?
we ukiona hawa wanaanza mara coca ujue hapo zinaongelewa habari za dini hawana wanalolijua zaidi ya hilo kwamba coca ni za mengi na ni mkristo watu wasitumie watumie azam cola hujaelewa nini??
 
we ukiona hawa wanaanza mara coca ujue hapo zinaongelewa habari za dini hawana wanalolijua zaidi ya hilo kwamba coca ni za mengi na ni mkristo watu wasitumie watumie azam cola hujaelewa nini??
Mimi namheshimu sana huyu MziziMkavu siamini kabisa kama lengo lake kuu ni hilo!na kama hilo ndiyo lengo lake basi atakuwa anafanya makosa makubwa sana!
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo hapa mkuu unataka kutuakikishia kwamba hii ni vita ya biashara tu!

mkuu hiyo vita ya kibiashara tu.... nikuambie kitu kimoja mkuu, je wafahamu kuna dawa ukinywa huruhusiwi kunywa Pombe kabisa, sasa kweli mamlaka zote za dawa na chakula duniani zitaruhusu Coca iuzwe bila warning ilihali wanajua ina alcohol na watumiaji waweza kuwa watu wasiotakiwa kunywa alcohol kabisa due to drug interaction? haswaa? then itakuwa sio 10% wanahongwa, hii itakuwa 100% kuhongwa...
 
Mkuu upo sahihi kabisa!hiki ni kinywaji kinachokubalika kimataifa,na kama kungelikuwa na kasoro kubwa kama hii lazima ingeshajulikana siku nyingi sana!
 
Nyama zipi hizo?

Mkuu Buchanan hujasikia sakata la kuchinja huko Mwanza? basi wagalatia walisusa kununua nyama baada ya Wassira kubaka haki ya nani mwenyejukumu la kuchinja na nani mlaji, ikaonekana kuwa waislam wanataka wawe wana chinja alafu uwezo wa kula nyama hawana basi wagalatia wakasusa kununua nyama.
 
Last edited by a moderator:
Walete hizo mbadala waone watakavyo susiwa kama nyama ilivyo tokea Mwanza.

kilo 2,500/- kwa sasa.
Warabu bwana? Na tayari ili wapate wateja wameweka udini mule kwenye post yao!!!!

Kifupi ni kwamba, madini ya cola, coffee ni element za sumu. sio mwana sayansi lakini kupitia mafundisho kadhaa iko hivyo. yaani mtumiaji mzuri wa coke hana tofauti na mtumiaji wa sigara japokuwa viwango vya athari watazidiana.

Lakini kwa blood pressure wanaweza kuwa ngoma droo.
 

Kwa hiyo hiyo coffee sio alcohol kama jamaa wanavyo taka kutuaminisha? au coffee ni sawa na alcohol?
 
Mzizi Mkavu hebu tafuta hii bidhaa huko majuu
kama ipo tuanze na sie kiwanda chetu
tutageuza tu jina.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…