Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
Mkuu MM,
Baada ya hii "secret" kugundulika unataka kusemaje?
Kwangu kitu soda2 hakina nafasi kabisaaa.
Walete hizo mbadala waone watakavyo susiwa kama nyama ilivyo tokea Mwanza.
This is waffling big time.
Hakuna kitu hapa, ni hisiahisia tu na kutaka kuharibiana soko.
Huu mpango wa Mwarabu kutaka kuua soko la Coke umeanza zamani sana, kampeni nyingi zimepgwa, lakini inaonyesha juhudi zina'prove futile.
Sasa hv wamekuja na hii mpya kuwa Coke ina POMBE!!...my hairz!
Nyama zipi hizo?
naona azam anapigiwa promo njaa jamani kaziiThis is waffling big time.
Hakuna kitu hapa, ni hisiahisia tu na kutaka kuharibiana soko.
Huu mpango wa Mwarabu kutaka kuua soko la Coke umeanza zamani sana, kampeni nyingi zimepgwa, lakini inaonyesha juhudi zina'prove futile.
Sasa hv wamekuja na hii mpya kuwa Coke ina POMBE!!...my hairz!
Kwahiyo hakuna ukweli wowote bali ni fitina tu?Hii ni vita ya kibiashara.
yaani hao watu mi mhhhhzilizochinjwa na Waislam...hahaaaa